Sweden jua linazama Saa nne usiku

Sweden jua linazama Saa nne usiku

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,185
Reaction score
6,642
Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu.

Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali.

Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.

Nchi za ulaya zimebarikiwa sana.
 
Umefika lini huko? Sogea kidogo kuelekea kaskazini utakuta na eneo halizami kabisa. Hukuwahi kusomea somo la Jiografia kabla ya kwenda huko? Katoe ushamba sasa. Linachomoza saa ngapi?
 
Lini umeenda huko? Hiyo kawaida tu Schengen country.
Tena likizama mapema wanaweza kufungua Kesi wakamshtaki Mungu kwanini katoa Jua mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom