Sweden jua linazama Saa nne usiku

Sweden jua linazama Saa nne usiku

Panakuwaje mchana hakuna jua?
Saizi jua liko northern hemisphere ndio maana wana experience jua muda mwingi katika Masaa 24, dunia ni "tenge" kiumbile so kuna kipindi linakuwa south pole , mbali na wao north so unakuta saa 5 asub bado Giza kabisa, linatoka saa 6 then saa 9 linazama.
 
Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu.

Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali.

Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.

Nchi za ulaya zimebarikiwa sana.
Anyway naikubali Stockholm na malmo.
2008 nilienda Gothenburg
 
Huku Australia jua linazama saa 6 usiku maeneo ya devonport
Thibitisha, la sivyo Moderator akulime ban ya masaa
Screenshot_20230617-202341.png
 
Alafu haya mambo ya mampira mbona kama bongo yamezidi, hivi kuna taifa linazungumza mamipira kiasi hichi duniani kama Tz?

Alafu sasa hatuna lolote si Chan wala CECAFA tunayoiweza ni mapumbavu pumbavu tu ya mwisho
Kuzaliwa Tz uwaki sana
Ukisikiliza redio ndo utashangaa
Vipindi vya michezo kila wakati kwa siku karibia mara 4 kuna kipindi cha michezo katika kila redio na wachambuzi uchwara
 
Sasa kama mmeenda guest house mkuu
Inaonekana hujawah ishi mikoan pembenpemben huko


Kuna eneo mnaish mnajikuta wote mnafahamiana hata km si kwa majina lkn mtu akikuona tu anajua wew ni wa wap sasa akiingia mgen fasta tu anajulikana kuwa yey si wa pale
 
Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu.

Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali.

Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.

Nchi za ulaya zimebarikiwa sana.
Wewe utakuwa haukusoma Geography maishani mwako.🤣🤣
Mbona Ni Jambo la kawaida kipindi cha equinox and solistice
 
Wewe utakuwa haukusoma Geography maishani mwako.[emoji1787][emoji1787]
Mbona Ni Jambo la kawaida kipindi cha equinox and solistice
Tusiosoma geography tupo wengi


Binafs mtoa mada nilimuona km analeta porojo


Ila michango ya nyinyi wasom walau imenipa shauku ya kutaka kujua zaid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom