Swali?

Swali?

Ni kwanin wanaume mkituacha waga mnapenda maisha yetu yawe yakuangaika?? Na unakuta mtu umepata mtu anaekupenda na kukujali (kupendana)wengi wenu hupenda kujirudisha na apologize kibaooo ....kiukweli waga nashindwa kuelewa waga mnawaza nn na kipindi mnapotuacha waga mnazan hatutongozwi?

Sio wanaume tu ipo kwa wote

Mara nyingi x-lover huwa wanapend kukuona upo down bt ikitokea likawa poa upo happy n thngs zipo sawa lazima ajisogeze hii inamkumbusha kuwa ulikuwa na thaman. Haukuwa loosr
 
Kweli kabisa
 
Wap kila mtu anaangalia upande wake mi nmeongelea upande wang
Umewahi kumwacha man then ukaja sikia na ku prove kuw now yupo bettr than bfore kimuonekan n sector zngne?
 
Back
Top Bottom