Swali?

Swali?

tumboo vp umempiga kibuti REALITY ndo unataka kuchukua tathimin toka kwetu?...load,,,,

Wee nianze yu mpiga kibuti REALITY wangu navompenda anavonipenda ad wazaman anaona wiv et anaomba msamahaa...hee aniache mie
 
Last edited by a moderator:
Mtu hawezi kurudi kama hujampa 'signal za kuwa unam miss'.....

Hamna...wengine bila hata signal anataka.tu kukuvurugia utaratibu wako,especially akiona umefunga ukurasa serious na unaendelea na maisha yako..
 
Ni kwanin wanaume mkituacha waga mnapenda maisha yetu yawe yakuangaika?? Na unakuta mtu umepata mtu anaekupenda na kukujali (kupendana)wengi wenu hupenda kujirudisha na apologize kibaooo ....kiukweli waga nashindwa kuelewa waga mnawaza nn na kipindi mnapotuacha waga mnazan hatutongozwi?

Uwaga uwaga
 
Back
Top Bottom