Matatizo ya kwenye ndoa yanasababishwa na wote na hii inaanzia na msingi wa mahusiano yaliyopelekea ndoa. Mkikosea hapo tarajia kushuhudia mabaya tuuu, ila pia usitegemee katika ndoa utashuhudia mazuri tuu hakuna kitu kama hicho, no one is perfect.
Kwahiyo kutakuwa na kukwazana na kufurahishana pia,cha msingi ni kutambua namna bora ya kudeal na changamoto zenu. Ni msingi mliojijengea ndio utakaokuwa namna bora ya kutatua matatizo yenu.
Emagine kuishi na mzazi wako tu ni changamoto,vipi kuhusu binadamu mlokutana ukubwani? Ni kuomba tu umpate wa kufanana nae ambae mtaivana na kuweza kuchukuliana. Ukibugi ndio ule msemo wa kosea kujenga nyumba ila usikosee kuoa/kuolewa.