Hongera sana....
ila kwa wengi kipato ni laki mbili tu hapo
Ni kutokana na kuwa na akili fupi/finyu, lakini ndivyo walivyoumbwaKwanini wanawake harusi...na kitchen party wanazijali kuliko familia?
Ukimuwezesha unajipunguzia kumpa hela za mambo yake na sio ya kutumia katika familiaNa wanasema wakiwezeshwa wanaweza
Mbona the boss ametumia hesabu nyepesi ila ni kwa njia ya maneno yaani 500000+200000= 700000. hayo maneno familia nk ni zuga tu hebu kuwen kama GT wakuu hongera yako mkuu data
Naomba tutofautishe kati ya kipato na matumizi
kipato
Familia inajengwa na wanafamilia, mume na mke ni wanafamilia
mume akipata laki 2 na mke akipata laki 5, Kipato cha familia ni laki 7
Matumizi
Inategemeana na taratibu za familia..