Swali la Kizushi. Wanaume Vs Wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la Kizushi. Wanaume Vs Wanawake

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Neiwa, Mar 7, 2012.

 1. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Katika Maisha yetu ya kila siku kuna wanawake na wanaume ambao wana interact kwa namna tofauti katika nyanja mbali mbali za maisha. Swali; Ni kundi gani linategemea kundi lenzie kiasi kwamba bila uwepo wa hilo kundi lingine waweza hata potea kabisa?
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hakika sijakusoma vzr,
  you mean wanaume Vs wanawake??
  km ni hivyo bila wanaume hakuna maendeleo, ndo maana kati ya siku 365 za mwaka wanawake wana siku moja tu, nadhani kesho, the rest ni zetu.
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...ivi sio kwamba tunategemeana kweli?
  ...MUINGILIANO lazma uwepo...
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Is that the way unatafsiri siku ya kesho? Kuna wanaume inchini tafadhali unaweza taja maendeleo ambayo unaweza jigamba nayo?
   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  hata hivo unaona nani wanaweza himili kuishi vizuri kama jamii kati ya makundi mawili?
   
 6. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Una akili wewe!
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  teh teh teh! nimekutania tu, mwenyewe umekasirika kukutajia siku yenu kesho.
  hakuna aliyezidi mwingine, mwingiliano wetu ni sawa na ziwa la mama na mtoto.
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh ulikuwa hujui Bagah yuko juu?
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Amy kichwa kitapasuka huku...ninapenda kusifiwa asee...LOL
   
 10. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ricky ricky ricky!..ohooo...
  mara ya mwisho nimeua nikiwa 4m 2...sitaki historia irudie...LOL
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ww uko chini sio?
   
 12. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Good, Ilikua nikurushie hii kitu "watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra"
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  rafiki iyo jamii haitakuwepo...wangeshakufa na kupotea kabisa...
   
 14. S

  Skype JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono kauli ya BAGAH kua wanadam wote tunategemeana 100%
   
 15. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ile topic kwenye bailoji ya majani kuliwa na mbuzi na mbuzi kuliwa na binadamu inaitwaje tena?
   
 16. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  bilaa mwanamke akunaa mwanaume,na bilaa mwanaume akuna mwanamke..tunategemeana,ndo maana mungu alimuumba adamu akaona haiwezekani akamuumba hawa.
   
 17. S

  Skype JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ecology.
   
 18. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Naona wengi mnakubali kua twategemeana. Kama kweli mwaamini hivo ni kwa nini siku zoote idadi kubwa ya wanaume wanakua na dharau saana dhidi ya wanawake?
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hapa sina ushahidi...na katika hiyo idadi kubwa unayosema,mm simo...
  nawaheshimu wanawake sana nikijua wazi nina mama mpenzi alienilea kwa upendo mpaka leo hii...
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sio reproduction kweli,?
   
Loading...