Swali kwenu wanawake wa Jamiiforums

Swali kwenu wanawake wa Jamiiforums

Ukiwa Kama Rijali wakisawasawa huwezi sikilizaa maneno ya njee, Kama ulivyo vumilia miaka 9 basi ungesubiri ufalme wa mungu, au mngeenda hata hospital akapandikizwa Mke Kama unampenda kweli .. Kumbuka kua yy ni mwanamke anahitaji kudekezwa, na khasa ukizingatia tatizo Kama Hilo, Jee angezaa nje nakukuletea mtoto ukalea kwa mapenZi yote siku yakujua ukweli ungehisi vipi ? Usilo penda kutendewaa usimtende Mwenzio eeh..... Inshallah na yy mungu atampa mwanawe wakumliwaza...
 
Una akili sana,umenena vema
 
Ninanukuu maelezo ya mume mtu yaliyotolewa mbele ya mke mwenyewe na mashahidi wengine wengine.

“tumeishi kwenye hii ndoa kwa miaka tisa (9) bila mtoto na sikuwahi kulalamika wala kuuliza chochote coz najua maswala ya watoto ni majaliwa ya Mungu na ishu za kulalamikia watoto ni za kizamani.

Huyu mwenyewe ndiyo alianzisha hayo mambo akaniburuza tukaenda hospitali na baada ya vipimo wote tukaonekana tupo vizuri na tuna uwezo wa kuzaa, tatizo likaja akawa ananilaumu eti sina shabaha ndo mana siwezi kumpa mimba"

Akaendelea, “ndiyo nikatafuta kabinti ka kawaida kabisa nikachepuka nako ili kupima shabaha yangu maana matusi yalianza kutoka nje ya nyumba kwenda kwa wanandugu na mitaani. Nimekadunga mimba na kamenizalia baby boy hivi karibuni, tatizo ndiyo lipo hapo mi kuzaa nje ya ndoa!”

Mwisho “nasema ni kweli nimezaa nje ya ndoa lakini aliyetaka, siwezi kumlazimisha kuendelea kuishi nami, anaweza kuondoka au kama anataka kuendelea kuishi na mimi its ok, mimii nampenda sana ila lawama za mimi kuzaa nje sizitaki kwa sababu kasababisha yeye mwenyewe na nilimuonya sana hakunielewa, lengo langu lilikuwa ni kumuonyesha tu kuwa nina shabaha ila ninayapenda maisha ya amani ndo mana sikujali hayo ya mtoto sasa mbona mwezie hata miezi mitatu haikupita kapata mimba?”

Swali, kama wewe ndiyo huyo mke utabaki kwenye hiyo ndoa au utaondoka?

Still utakuwa na furaha kama zamani endapo utabaki?

Je, huyu mwanaume kamtendea sawa huyu mwanamke?

wanawake tuwe makini na midomo yetu c kila kitu kuwa cmulizi kwa watu,na hapo kaka hujatatua tatzo au kumkomoa bali umelikoroga ujiandae kulinywa.
 
Nitakujibu hili kama mwanaume mwenzio. Wewe ulifanya makosa, mbona siku hizi kuna hata artificial insemination, yaani ikatokea wote mko sawa na tatizo ni shabaha tu, basi mnaenda kwenye clinic afu anakusaidia kupiga punyeto/masturbation hatimaye mbegu zinaingizwa ndani yake kiuataalamu. Na sio ghali.
 
Na yeye akichepuka kuangalia kama goli lake linadaka vizuri halafu akaleta mimba na anakuambia kuwa kapewa huko alikoenda utafurahi ?,au na wewe utahama ymwachie nyumba?,just curious!
 
Hata akibaki,bwawa ndio limeshaingia ruba!
Wote wana makosa.
 
Ha ha ha ha! Jamaa kajitwika jukumu zito la ulezi wa mtoto ambaye ni results za experiment ili apate heshima kwa bibi ambaye si understanding hata kidogo.

Huyo mtoto sasa itakuwaje?
 
Hahahahahaha kama ningekua ni mimi na nina kijikaz changu wala nisingesema nae huyo mume wala kumpigia kelele tena., ningetafuta shababi la kunilenga shabaha bass halaf nasepa na maisha yangu. Maisha ya visasi c maisha hata kdg. Raha ya ndoa ni kua na katoto hata kamoja jaman ndo mana dada wa watu hana raha. Ila huyo mwanaume mshenzi angenioa mimi mshenz mwenzie ndo muv ingekua nzuri
 
Maisha ya ndoa hayahitaji visasi maisha ya ndoa hayahitaji ushenzi!! Kuna uvumilivu mkubwa unahitajika katika maisha ya wawili, mimi kama mimi ushauri nilioutoa ni kwamba!! Cha kwanza tumewapatanisha kwa kuwaonyesha wote wana makosa ili iwe ngoma droo!! Cha pili ni wamchukue mtoto, mawasiliano ya mwanaume na upande wa pili yakatiike then baada ya hapo wafanye taratibu za kitaalam ili kuhakikisha na wao wanapata mtoto/watoto wao!!

Kama wameyachukua haya sawaaa, kama watayaacha watajua wenyewe!! Ila still they love each other and they live peacefully kama kuna atakayechepuka kutafuta shabaha kwingine huyo ndiye atakuwa amelikoroga sasa
 
Na yeye akichepuka kuangalia kama goli lake linadaka vizuri halafu akaleta mimba na anakuambia kuwa kapewa huko alikoenda utafurahi ?,au na wewe utahama ymwachie nyumba?,just curious!
Tatizo ni kuwa huyu mwanamke alianza kumpakazia jamaa hadi nje kuwa hana shabaha, au hujaliona hilo!
 
huyo mama mwambie aje kwangu, mbegu zangu mimi zina visa sana...kakiingia huwa kanagawanyika vinakuwa viwili matokeo yake mapacha!
 
Mkuu nimerudi nimetafakari saaana jamaa kauliza kama ni wewe (ke) ungefanya nini?

Ningeacha gubu halafu nakuwa mpole sana halafu nakuwa mdogo kama mjiti wa kiberiti (najishusha) japo itaniuma saaaana jamaa kuzaa nje ila si kipindi cha mabishano hicho maana ni kigumu kwangu. kinachofuata nachepuka kwa siri saana sasa nikishaumia (ujauzito) hapo ndio atanijua mimi nani maana ili kuongea naye inabidi nipande juu ya meza ili aweze kunisikia vizuri kwamba yeye hafaiii. Nisipoumia basi inabidi nifunge kilichochangu niondoke maana dharau itakayotoka kwa me ni kubwa mno, ila kama kweli bado ananitaka akinifuata itanibidi nirudi na adabu zangu niongeze na za wengine ili niishi kwa utulivu.
 
Tatizo mabinti wa siku hizi (si mabinti tu hata wanaume) mna maamuzi ya haraka sana bila kuangalia apnde zingine za maisha!! (Nimekopi kutoka post ya juu but nitaongezea) Maisha ya ndoa hayahitaji visasi maisha ya ndoa hayahitaji ushenzi!! Kuna uvumilivu mkubwa unahitajika katika maisha ya wawili, mimi kama mimi ushauri nilioutoa ni kwamba!! Cha kwanza tumewapatanisha kwa kuwaonyesha wote wana makosa ili iwe ngoma droo!! Cha pili ni wamchukue mtoto, mawasiliano ya mwanaume na upande wa pili yakatiike then baada ya hapo wafanye taratibu za kitaalam ili kuhakikisha na wao wanapata mtoto/watoto wao wa pamoja!!

Kuna kitu kimoja nikwambie, huyu katika miaka kumi na kadhaa waliyokaa ameona (tunaangalia ushahidi) amesalitiwa mara hiyo moja tena kwa nidhamu mpaka yeye kagundua mtoto!! Upo?? Utaachana na huyu mwanaume wa hivi utaenda kuolewa na mwanaume ambaye atakusaliti kila siku huku unaona na dharau juu na watoto lukuki kutoka nje!! Heri nini?? Huyu aliyekukosea mara moja katika umri huo wa ndoa na akakuomba msamaha kwamba haitajitokeza tena ilikuwa ni maamuzi ya hasira kutokana na ulichokianzisha wewe mwenyewe mwanamke au ukaolewe na ambaye hujamkosea lakini vitimbi haviishi!!!?? Kikubwa ni kuangalia kosa limetokea wapi na kusawazisha tu, kutoka nje na wewe ili kulipa kisasi hakutasaidia chochote zaidi kutakuvuruga tu amani

Angalia pande zote mbili kwa kina then rudia tena jibu lako na uamuzi wako!!
 
Back
Top Bottom