miss ngatara
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 473
- 167
Sawa sawa
kama alivyofanya huyo baba, na mkewe akajaribu bahati yake nje....Bora aondoke akalale na mwanaume mwengine anaweza pata mimbaa maana aya mambo yapo waeza ishi na mume miaka mingi bila mtu once mume au mke akitoka anapata mtoto
"mwanamke mwenye mdomo apatiwa dawa yake"
huyo mume huenda huo mchepuko umembambikia hiyo mimba. chezeya warembo wa mujini...
jamaa akapime dna
Sawa kabisa ndo dawa yao
Mwanamke hana akili ukipangiwa kuzaa una zaa tu hayakua majaliwa yake ndo bas tena aheme uamux.n wake aendelee au ahame
Ninanukuu maelezo ya mume mtu yaliyotolewa mbele ya mke mwenyewe na mashahidi wengine wengine,
..tumeishi kwenye hii ndoa kwa miaka tisa (9) bila mtoto na sikuwahi kulalamika wala kuuliza chochote coz najua maswala ya watoto ni majaliwa ya Mungu na ishu za kulalamikia watoto ni za kizamani. Huyu mwenyewe ndiyo alianzisha hayo mambo akaniburuza tukaenda hospitali na baada ya vipimo wote tukaonekana tupo vizuri na tuna uwezo wa kuzaa! Tatizo likaja akawa ananilaumu eti sina shabaha ndo mana siwezi kumpa mimba ..!!
Akaendelea, ..ndiyo nikatafuta kabinti ka kawaida kabisa nikachepuka nako ili kupima shabaha yangu maana matusi yalianza kutoka nje ya nyumba kwenda kwa wanandugu na mitaani. Nimekadunga mimba na kamenizalia baby boy hivi karibuni, tatizo ndiyo lipo hapo mi kuzaa nje ya ndoa!
Mwisho .nasema ni kweli nimezaa nje ya ndoa lakini aliyataka, siwezi kumlazimisha kuendelea kuishi nami! Anaweza kuondoka au kama anataka kuendelea kuishi na mimi its ok!! Mi nampenda sana ila lawama za mimi kuzaa nje sizitaki coz kasababisha yeye mwenyewe na nilimuonya sana hakunielewa!! Lengo langu lilikuwa ni kumuonyesha tu kuwa nina shabaha ila ninayapenda maisha ya amani ndo mana sikujali hayo ya mtoto sasa mbona mwezie hata miezi mitatu haikupita kapata mimba?
Swali, kama wewe ndiyo huyo mke utabaki kwenye hiyo ndoa au utaondoka?? Still utakuwa na furaha kama zamani endapo utabaki??
Je, huyu mwanaume kamtendea sawa huyu mwanamke??
Huyu mwanaume inabidi amuoe huyu binti.la sivyo stakuwa kamharibia future na yule mama mkubwa akubali matokeo. Ndiyo njia sahihi ya kumaliza mgogoro kwani mama mkubwa hatalalamika tena.
Wanawake tuna midogo, God forbide! huyo amepewa dawa yake, mume ahamishie mapenzi kwa wenye uzazi wao hilo tasa likatafute wenye shabaha, useless woman
SWALI ni JE huyo mwanamme anauhakika hiyo shabaha hadi akapatikana mtoto ni wake kweli??
Wakafanya kwanza vipimo vya DNA unawezakuta mtoto si wake......Tatizo la wanawake wakishajua wewe baba unashauku ya kupata mtoto na mkeo basi mwanamke mwingine anajilengesha....ANABEBA mimba ya mwingine unaambiwa yako.....Mke anaonekana alikuwa na tatizo kumbe ni wewe baba ila tuu sababu mtoto umepakaziwa
Mke akiolewa na mwingine anapata mtoto...hapo sasa