Swali kwa wataalamu wa JF (w/ume haswa)

basi kuna haja ya wanafunzi kutinga jinsi nyeusi maana pata picha una suruali ya khaki, ni balaa.
 
Funzadume,

Hiki ni kitu cha kawaida sana. Hakijawahi kunitokea ila kuna washikaji wengi sana walipatwa na tatizo hili wakati wanafanya mitihani ya f.2, 4 au 6. Ingawa sikuwahi kusikia mtu aliyepatwa na tatizo hili college, nadhani wapo wengi ila wanaficha. Nimejaribu kutafuta kwenye chanzo chake na kukutana na maelezo hayo hapo chini,



Source:Stress and Being Too Excited Makes Me Ejaculate in Five Minutes
Huu ndio ushahidi wa kisayansi ambao nilikuwa ninautaka

nimekugongea thenksi mkuu
 
basi kuna haja ya wanafunzi kutinga jinsi nyeusi maana pata picha una suruali ya khaki, ni balaa.
nadhani hii uwa inatokea kwenye somo ambalo unalipenda sana halafu muda wa mtihani ni mdogo na maswali ni mengi halafu yanasolvika
 
mmmhhhh mambo ya kawaida tu haya..
mie niki muwaza tu mtu fido dido mmmmhh hata sichukui muda haah lol
una pipa la nye.ge mwilini mpk liishe hilo kazi unayo nyie ndio mnaoshusha wazungu hata ukiguswa nba mkia wa paka
 
hapo kwenye blue sikubaliani na wewe hamna mapicha yoyote yanayokuja kichwani maana kinachotokea ni kwamba mtu unakuwa busy na pepar tena unakuwa huna fikra zozote zaidi ya huo mtihani ila unajikuta unapiga bao, ningependa mtu je na maelekezo ya kisayansi zaidi

Duu! pooleni sana! lakini c unapata raha kukuliwaza na hali mbaya ya mtihani!! that's great.
 
Hii ni saikolojia!!! Sasa,kabla ya kukupa maelezo juu ya swali lako .Hebu weka hii vizuri baada ya kufanya review ya swali lako la B/k ,je! uligundua kosa lililosababisha kutokuoana/kubalance?.Ndiyo au hapana itanipa mahali pa kuanzia.
 
kwani kupiga bao ndo nini jamani waungwani nifafanulie jamani?
Nimesoma post ya yule dada ambaye akinyonyesha ana cum imenikumbusha kitu kilinitokea miaka mingi sana iliyopita

Miaka ya nyuma sana wakati nasoma kidato cha nne niliwahi kukutwa na tatizo ambalo mpk leo nimekaa nalo kama siri, lakini kwa kuwa hapa kuna wataalam wengi ngoja niwamegee tujadili

Siku nilipokuwa nafanya mtihani wa mwisho wa taifa wa kidato cha nne wa Book Keeping kuna swali lilikataa ku-balance (wahasibu hapa mtanielewa vizuri) sasa wakati nachekecha akili na kuangalia wapi nimekosea nilisikia hali flani ya raha hivi mpaka nikapiga bao ndani ya chumba cha mtihani yaani ilikuwa na ajabu sana ila bahati nzuri waliokaa jirani walikuwa busy na mtihani hawakugundua ingawa nilipatwa na hali ya ajabu sana

ilibidi niombe ruhusa kwenda chooni kujiweka sawa ndio nikarudi kwenye paper na kuendelea (nilipata "A" mwisho wa siku)

Swali ni kwamba je hiyo ni hali ya kawaida au kuna mtu mwingine imeshamtokea akapiga bao katika kipindi cha stress kama hicho?. Naomba ushauri kutoka kwa wanaume au wanawake wenye taaluma na uzoefu wa mambo ya afya ya uzazi
 
Back
Top Bottom