wale tuloingia na 4 figure kwenye chumba cha mtihani wa kidato cha nne na kukosa cha kujibu kuja hapa.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
leo nimekumbuka sana maisha nikiwa ya kidato cha nne na hasa nilipokuwa naenda kufanya mtihani wa hesabu with zero brain in calculation lakin cha ajabu nilitumia muda mwingi kufikiri kuliko mtihani wowote na ajabu zaidi niliingia na kitabu cha four figure wakati sikuwahi kujifunza kabisa yaani mimi na hesabu nilikuwa nimeshagombana nae ila ajabu nilijikokoki mno kwenye mtihani wa Taifa,mambo yaliukuwa fire hatimae matokeo nililetewa mswaki mkubwa na sikuweza kukataa ila aiseee hesabu ipewe heshima yake.
 
Kulikuwa na MBWEHA moja inaitwa MAGEREWANYA lile jamaa lilikariri kwa kichwa 4figure yote
 
Mi nimekuja kumaliza paper natoka ndio najua kulikuwa kuna maswali yanataka four figure.Nikaondoka na mswaki mpyaa.
 
Back
Top Bottom