" Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"?
Ndio sijawahi,najua nitakua mnafiki tu kumjibu nampenda piaKwamba hujawahi kuwa kwenye mahusiano na vishotiii?
Wako so InsecureWanaume wafupi
1. wanawivu sanaaa tena ulopitiliza.
2. Wanahasira sanaa, yeye kutoa ng'eo kwake haoni shida.
3. Hawajiamini Kabsaa, Kila siku atahisi unamsaliti, hasa ukiwa wewe mwanamke mrefu mwanaume mfupi utajuta.
Naongea kwa uzoefu kutoka ndani ya familia.
Ukiwa mwanamke mrefu olewa na mrefu mwenzio.
Mwanamke mfupi kuolewa na mwanaume mrefu Haina shida ila mwanamke mrefu ukiolewa na mwanaume mfupi, jiandae kisaikolojia.
Unaamini kuna mwanamke anaweza kumkataa Mo kwa kuwa ni mfupi?Huo ni uongo.
Kabisa mkuu, maana majibu yote yametolewa kwa hiyo video, kilichobaki mleta mada aende akafanye hiyo practice aje alete mrejesho😅😅Kuendelea ni kupotezeana mda tu kwa kweli
Tukanywe kahawaHaya Uzi ufungwe tuendelee na mambo mengine.
Akitaka mtu wa kumfanyia majaribio mi nipo, nipo free kabisaKabisa mkuu, maana majibu yote yametolewa kwa hiyo video, kilichobaki mleta mada aende akafanye hiyo practice aje alete mrejesho😅😅
Bro kwani we si umeuliza sababu, ungesema sasa kwamba na ramani zinahitajikaAkapambane wapi sasa na hana ramani?
Yeah huku tukiendelea na uchambuzi wetu wa hapa na pale juu ya sirikali😂😂😂Tukanywe kahawa
Hii imekaa vizuri maana ameleta bandiko la research yake amepata jibu na specimen juu yake so bila shaka hii research yake itaenda kufanikiwa kwa asilimia mia 😂😂😂Akitaka mtu wa kumfanyia majaribio mi nipo, nipo free kabisa
Ndio na mengineyo ya muhimu sio ufupi.Kinachoangaliwa ni kipato siyo?
Usidharau mbachao kwa msala upitao. Kuna mtu ambae hajatumia Tecno!?, Labda kama na nyie ni watoto wa afu mbiliLakini ni kweli Mkuu.
Simu za tekno zina tabia za kiwaki, mda mwingine zinajizima na kuwaka zenyewe, upo sahihi.
Nami nilitaka kuuliza mfupi kwendea wapi? Juu au nyuma?Nafikiri majibu kayapata bila shaka😆
Duuuh!!!.Wana gubu, washari km Thomas Mashali..!!
Sasa usiombe awe katokea chuga, ubishi na ujuaji jamani khaaaa..!! 😏😹😹😹🏃♀️🏃♀️
😃Nami nilitaka kuuliza mfupi kwendea wapi? Juu au nyuma?