Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

Swali kwa wanawake wa JamiiForums?

Wanaume wafupi

1. wanawivu sanaaa tena ulopitiliza.
2. Wanahasira sanaa, yeye kutoa ng'eo kwake haoni shida.
3. Hawajiamini Kabsaa, Kila siku atahisi unamsaliti, hasa ukiwa wewe mwanamke mrefu mwanaume mfupi utajuta.

Naongea kwa uzoefu kutoka ndani ya familia.

Ukiwa mwanamke mrefu olewa na mrefu mwenzio.
Mwanamke mfupi kuolewa na mwanaume mrefu Haina shida ila mwanamke mrefu ukiolewa na mwanaume mfupi, jiandae kisaikolojia.
Kwahiyo umeolewa na Mrefu?
 
Back
Top Bottom