Swali kwa Wanawake: Kwa nini mwatumia vipodozi?

Swali kwa Wanawake: Kwa nini mwatumia vipodozi?

Alafu ukizoea kujipura balaa kuna shost hawezi hata kwenda dukan bila ya kuupara....
 
Tusipojipodoa, hamtaki kutoka Out na sisi.
Tukijipodoa mnatusema.....mweee, tufanyaje jamani enyi wanaume!!!???
... Heaven on Earth, mzigo wa dodo na maji ya Carolite ukija ni Pm....bora nimfuate Dida au Sauda Mwilima sasa.
 
Last edited by a moderator:
Im not into makeup a'lot but I do smtym to make me look kind different from what people sees everyday,juz light and sex makeup make me hot:A S crown-1:
 
Wengine ni kama nyumba inavyopakwa rangi.....msasa....primer...stucco...white cement....msasa...msasa tena...rangi...rangi tena....

Hahahah!!!...
 
Mngemuona Vera Sidika si ndo mngechoka nafsi zenu

Ila yule binti alivyojibadilisha kawa mzuri zaidi...mshundundu umenawiri kama kachambia hamira vile!!!
 
Tunatumia vipodozi ili tupendeze, Ila kwa huyo mdada aliyempodoa sio mtaalamu au yeye mwenyewe amevamia fani. Ina maana hakujiangalia kwenye kioo na kuona hayo makorokocho!

Mi kwanza ninawasiwasi huenda alijipodoa kwa special theme especially kucheza ngoma, kwa hiyo tusikonde saaana..
 
???? nahisi kama sikuelewi hivi
Kwanini mwanamke anatumia vipodozi?
Nadhani ni nature na pia interest ya mwanamke, kupenda kuwa na mwonekano mzuri. Katika hao kuna group mbili, wanaozidisha na ambao wako simple, ila sababu inarudi hapo juu. Asili na interest yake ni kuwa na kufanya ivo.
Hili swali wanaume wengi wanapenda kuuliza, sometimes nadhani mnahisi tunafanyaga hayo ili kuwavutia. Ni kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom