Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,175
- 111,114
- Thread starter
- #101
Kwanini mwanamke anatumia vipodozi?
Nadhani ni nature na pia interest ya mwanamke, kupenda kuwa na mwonekano mzuri. Katika hao kuna group mbili, wanaozidisha na ambao wako simple, ila sababu inarudi hapo juu. Asili na interest yake ni kuwa na kufanya ivo.
Umejibu vyema lakini kuna wengine kama huyu sidhani kama hiyo nia ya kuonekana vizuri inakuwa imetimilizwa...
Kwa kifupi kuna wanawake ni warembo pasipoutumia hizi mavitu na ni vyema wabaki 'natural'
Hili swali wanaume wengi wanapenda kuuliza, sometimes nadhani mnahisi tunafanyaga hayo ili kuwavutia. Ni kweli?
Of koz motive mojawapo ya mwanamke kujiremba ni ili avutie na ndio maana hapo juu umetumia maneno "mwonekano mzuri"...
Au kwa lugha nyingine ni kwamba pasipo mwonaji basi hakuna mwonekano...na waonaji ndio kina sisi waume kwa wake