Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,487
Haha kumbe ndio maana yule jirani yangu kila akimbeba mwanangu analia balaa!!!
mmh aisee kumbee,
Haha kumbe ndio maana yule jirani yangu kila akimbeba mwanangu analia balaa!!!
Nimeyajua kwa sababu alipoitundika mada yake aliweka kiunganishi cha hiyo blogu na baadaye akaiondoa.
Nilipoibofya ikanipeleka huko kwenye hiyo blogu.
Una swali jingine?
huyu kafanya sana bwana..... ila ni kuficha ubaya
Kuna sehemu nlisikia eti...! "Mwanamke makeup natural achia misitu" Nadhani hii ndo kauli mbiu yenu
Kuna sehemu nlisikia eti...! "Mwanamke makeup natural achia misitu" Nadhani hii ndo kauli mbiu yenu
Kuna imani za watu wa pwani zinasema kuwa kioo huwa ni kama mtu hivi
sometimes kioo huwa na fitina na mtu
kinamdanganya kusudi ili awe kichekesho watu wamcheke...
ukienda Tanga utakuta wamama wa zamani wanakifunika kioo siku nzima na nguo na wakifunua wakati wa kukitumia tu.......wanadai vioo huwa vina siri...jiulize why hata kwa waganga vioo hutumika..why?
kuna imani pia vioo huweza kubeba pepo au jini likawa linaku cheza shere..
ukijiremba linakuambia bado bado..ongeza na hapo na hapo hadi uwe kichekesho halafu linakucheka
huku wewe ukiamini umependeza.......dini ya kiislam baadhi ya madhehebu wanaambiwa wasome dua maalum
kabla ya kukitumia kioo na kutokitumia mara kwa mara.....
na huko Tanga pia wanasema kioo chako kikiwa kichafu kina vumbi au rangi rangi za urembo au kimenjika
basi kinakukasirikia na kuwa na fitina na wewe........
ukimtazama huyo dada for sure kioo chake kilimwambia 'amependeza'
while humu JF tunamcheka.....hata Michael Jackson kioo chake kilikuwa kinamwambia fanya hivi fanya vile mwisho akawa kichekesho.... vioo huwa na fitina......nenda navyo taratibu
Niko nje ya mada; hivi wewe ni yule Dr. Avemaria "nimfahamuye"? Teeh!!
Ok, coz leo niliona kwenye bunge Dr. Avemaria akitoa maoni, nikasema asije kuwa rafiki yangu huyu wa jf.
yule wa bungeni ni Dr wa DS pale MUHAS. ni mpenzi wa ccm kama nini!!
Nashangaaga sana kuona wanaume wanauliza hili swali...