Swali kwa Wanawake: Kwa nini mwatumia vipodozi?

Swali kwa Wanawake: Kwa nini mwatumia vipodozi?

Why do people wear jewelry?
Why do people do their hair up?

for some they feel more comfortable with makeup,to enhance their beauty
 
JF ni multipurpose message board. Mashughuli ni mahsusi kwa akina dada na mambo ya urembo.

Sasa wewe ulienda kutafuta nini huko? Pointers za urembo?

Blog sites zinatumika kuweka matangazo ya kibiashara, nilikuwa nafuatilia tangazo la 'kibanda' chetu kama lipo huko
 
hakujua avaeje hizo make up.

Mweusi na silver kopeni wapi na wapi?

Midomo mipana na blood red wapi na wapi?

Nikimuangalia huyo binti hapo kwa picha naona ni mrembo akiwa hajavaa make-ups zozote lakini baada tu ya kukwatulia ni kama anakera vile...

Sasa kwa mantiki hiyo je unaona kama anatangaza biashara au ndio anaididimiza?
 
hakujua avaeje hizo make up.

Mweusi na silver kopeni wapi na wapi?

Midomo mipana na blood red wapi na wapi?

Mimi sina ufahamu wa namna mtakiwavyo kujipara hivyo vipodozi lakini wakati mwingine huwa naona kama si kila mwanamke anapaswa kujipara...

Wengine huwa hawapendezi hata kidogo...
 
Make up nzuri ikivaliwa kitaalamu, wengine wetu tunaweka poda kama japanese geishas hapo mtu anajiona katokelezea, na watu wanapogeuka kumwangalia anajimbia yes nimefunika kumbe wanamshangaa.
 
yangu powder ya PONDS na lipgloss inanitosha mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom