Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,739
- 102,557
"Kuvaa make ups"=kujipodoa/kujiremba(one to one correspondense)/wearing a wig,perfumes or a gown!
Sasa mbona kwa wengine hako kauzuri huwa kanapungua?
mweee.....dodo imenitenda mwenzio....akuu....nimenata kwenye kwini elizabeti......sitaki makuu........
mi huwa najukubal nilivyo ndicho kitu ambacho huwa najivunia
Huyo dada inaonekana alivaa make up kwa ajili ya shughuli (send off, chicken party and the like), sidhani kama in normal days anaweza akajipodoa hivyo.
Halafu, ndio maana tukawa wanawake, ni kawaida mdada na kujipodoa. Ukiwa too plain haipendezi sana ingawa na kuzidisha pia sio.
utakuwa ulikosea masharti. unatakiwa uwe unaoga na maji ya moto yaliyochemka 90 degrees.
Make up nzuri ikivaliwa kitaalamu, wengine wetu tunaweka poda kama japanese geishas hapo mtu anajiona katokelezea, na watu wanapogeuka kumwangalia anajimbia yes nimefunika kumbe wanamshangaa.
Sema neno mke mwenza....
Niko nje ya mada; hivi wewe ni yule Dr. Avemaria "nimfahamuye"? Teeh!!
Also you are a Man! Aren't you?Wewe huko kwenye Mashughuli blog ulienda kufanya nini?
JF ni multipurpose message board. Mashughuli ni mahsusi kwa akina dada na mambo ya urembo.
Sasa wewe ulienda kutafuta nini huko? Pointers za urembo?
Also you are a Man! Aren't you?
Wewe uliyajuaje hayo?
Tusimuliepo...