Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,336
- 10,895
Nijibu hili swali moja tu na mwanaume ambaye hajajitunza naye tumuweke kwenye kundi gani? Kama hauna hoja lazima ukiambiwa ukweli useme ni povu nijibu hilo swali hapo
Sasa wewe ni nani mpaka ujilinganishe na Mwanaume?
Kama hujui maandiko ya kiroho kwenye Biblia na Quran. Au hata kwenye matambiko ya kijadi huwezi elewa nazungumzia nini.
Swali lako muulize aliyekuumba mwanamke maana yeye ndiye katoa sheria ya kuoa bikra na hajamconsider mwanaume.


