Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

Huo mstari wa pili kutoka mwisho, sijui kwa nn naurudia mara mbilimbili [emoji23]
Lol🤣🤣🤣mfyuuu
Em niache mimišŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļøšŸƒā€ā™€ļø
 
Nakubali alafu kifuatacho ni kama CCM tu wanavyofanyaga.
 
Kwa mahusiano ya kisasa, NITAMUACHA! Aliwe huko, ameshakuwa na multiple partners, leo aniletee hadithi za ''no sex till we say I do"? Nah ekse!!

Unless awe virgin!!
 
Nitaenda kwa mtu mwingine kwa maana nia ya kukufata ni kugegedana hilo la ndoa ni matokeo tu
 
Back
Top Bottom