Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

Nitakubaliana nae...

Sababu wanaume tumeumbwa na akili nyingi sana, wanawake nyie mwalimu wenu ni kipofu...

Cc: mahondaw
 
Kwa bahati mbaya nina mwanaume anayejielewa na ambaye hakariri maisha kama wewe anajua kuwa bikira siyo ticket ya kudumu kwenye ndoa

Angekuwa anajielewa asingechukua Mtumba, old fashion, pagama wakati kuna wanawake wanaojielewa waliojitunza.

Alafu swala sio kudumu kwenye ndoa. Suala ni kuwa Ukoo unaouanzisha unatokana na Mama msafi, Mwaminifu, Asiyenajisi na mwenye kujua thamani ya mwili wake.

Sio unachukua jianamke lisilojua hata thamani ya bikra ambalo litaufanya ukoo wako uwe najisi, Ukoo wa Zinaa, Ukoo usiojua thamani ya bikra kwa sababu Mama na Baba wote walikuwa Mapagama.
 
Sasa ndo nakuhakikishia kwamba kwa Mungu mwanamke aliyezini kabla ya ndoa na mwanaume aliyezini kabla ya ndoa wote wako sawa na wote wana dhambi sasa wewe endelea kujidanganya hapo kuwa eti wanawake ndo chanzo cha wanaume kufanya mapenzi utafikiri mmeshikiwa akili

Kumbuka hata Eva ndo alikuwa chanzo cha Adam kula tunda lakini wote walipewa adhabu kwa sababu alikuwa na uwezo wa kulikataa lile tunda kutoka kwa Eva vile vile hata nyie mna uwezo kukataa vishawishi kutoka kwa wanawake

Na maandiko yanasema aziniye na mwanamke hana akili kwahiyo wanawake kuachia miguu siyo sababu ya nyie kutaka ngono yaani hiyo sababu baki nayo mwenyewe kama utetezi ili ujifurahishe tu lakini kwa Mungu hiyo siyo sababu na haitakaa kuja kuwa sababu

Kwa sababu maandiko yako wazi na yanajieleza nadhani tuishie tu hapa maana naona najibizana na mtu asiyetaka kukubali uhalisia uliopo bali anataka kujipa moyo kuwa anachoamini yeye ndo sahihi endelea kujipa moyo mkuu

Kama kwa Mungu wote ni sawa mbona adhabu inayotolewa ni tofauti. Hujui hata unalolisema.

Wewe ndio uendelee kujipa moyo kwa uchafu na kumpa mumeo makombo na kumpa Mikosi. Najua hata watoto wako wa mtumba nao watafuata tabia ya Mama yao. Kwa maana Mtumba huzaa mtumba.

Mpe pole Bwana Mitumba aliyekuweka ndani. Mwambie yeye ni shujaa.
 
N'na swali dogo tuu hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
It takes diverse views and approaches to respond on the issue.

1. Who says so?
Ikiwa mwanamke anayesema "no sex before marriage" ana makubaliano binafsi ya kifikra na kimaumbile, then it can be, if not 'anajilisha upepo'

2. Nani anaambiwa?
Kuna 'baadhi' ya w/ume kwao sex is "making love", this means that before sex, love is not in existence so it should be made. Kama upendo upo kati yao why making it?

The Conspiracist!
 
Angekuwa anajielewa asingechukua Mtumba, old fashion, pagama wakati kuna wanawake wanaojielewa waliojitunza.

Alafu swala sio kudumu kwenye ndoa. Suala ni kuwa Ukoo unaouanzisha unatokana na Mama msafi, Mwaminifu, Asiyenajisi na mwenye kujua thamani ya mwili wake.

Sio unachukua jianamke lisilojua hata thamani ya bikra ambalo litaufanya ukoo wako uwe najisi, Ukoo wa Zinaa, Ukoo usiojua thamani ya bikra kwa sababu Mama na Baba wote walikuwa Mapagama.
Nakazia hapo kwenye sentensi ya mwisho "kwa sababu mama na baba wote walikuwa mapagama" huko kwingine kote umepuyanga tu
 
N'na swali dogo tuu hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
Hapana.
 
Kama kwa Mungu wote ni sawa mbona adhabu inayotolewa ni tofauti. Hujui hata unalolisema.

Wewe ndio uendelee kujipa moyo kwa uchafu na kumpa mumeo makombo na kumpa Mikosi. Najua hata watoto wako wa mtumba nao watafuata tabia ya Mama yao. Kwa maana Mtumba huzaa mtumba.

Mpe pole Bwana Mitumba aliyekuweka ndani. Mwambie yeye ni shujaa.
Wewe ni dini gani kwanza? Maana kwa wakristo hukumu ya wazinzi ni moto wa milele baada ya kiama bila kujali jinsia achilia mbali huku duniani maana huku hakuna adhabu yoyote kwa sababu tunaishi kwa rehema na neema za Mungu naye anatusamehe sana tu ila siku ya hukumu wenye dhambi wote ndo wataangamizwa

Wewe endelea kukaa hapo kujidanganya kudhani kwamba ninyi wanaume ni kama waziwanda kwa Mungu kwamba mseme eti kosa akifanya mziwanda muache ni mtoto huyo ila akifanya kifungua mimba mchape ni mkubwa huyo hahahaha duuh ila mimi nimeshakwambia endelea kutumia huo utetezi wako kama njia ya kujifariji na kujipa moyo hapa duniani tu lakini haukubali kokote halafu wewe mwenyewe umesema unatomba wanawake ambao tayari ni used kwahiyo hata wewe unamiliki hiyo unayoiita mitumba na hata wewe na we ni mtumba vile vile kwahiyo huyo mke utakayemuoa ahesabu maumivu maana kaolewa na mtumba na mtazaa watoto mitumba
 
Back
Top Bottom