Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

Khaa sasa ukisema hivyo unamaanisha nini? Kwani wanawake hizo bikira zinatolewa na kina nani? Mkisema wanawake wajitunze automatically mnamaanisha na wanaume nao wajitunze labda kama nyie mtakuwa mnafanya na wanyama huku wanawake wakiwa wanajitunza

Ndio maana nikasema endelea kusubiri Mwanaume ajitunze alafu mwisho wa siku tuone atakayekutwa hana bikra tuone atakuwa nani.

Wewe ni mwanamke yakupasa ujitambue. Kama hukuolewa na bikra basi jua wewe ni mkosi tuu kwa mumeo.
 
Wati hadi leo mnatafuta wenye Bikraa??? Duuh tumetofautiana sanaa mwanaume 25+ badala ya kuwaza kupata demu mwenye akili ya maisha unakomaa kutafuta vibikra...
 
Kwa misingi ipi yaani kwa mfano? Ukisema hivyo unamaanisha kwamba hata yeye natakiwa nimkute kajitunza hajawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote ila kama na yeye alishawapitia wanawake wengine huko na wengine aliwatoa bikira basi anatakiwa ajue kuwa pia kuna wanaume wenzie nao walimpitia mke wake mtarajiwa maana hata yeye aliowapitia ni wake za watu watarajiwa

Yaani kwenye hili swala hamuwezi kutulaumu wanawake tu sababu nyie ndo mnaongoza kutaka ngono kabla ya ndoa halafu mwisho wa siku mnawaacha watoto wa watu waende kuolewa na kina nani sasa? Ndo maana na wewe itabidi upate aliyetumika kama ambavyo wewe uliwatumia wa wenzio yaani wewe usijitunze halafu kabisa unataka upate aliyejitunza? Are you serious? Ofcourse you are not serious.
 
Halafu hivi mbona sisi tukisema tunataka wanaume wenye pesa mnatuponda? Mbona nyie mnasema mnataka wanawake wenye akili za maisha kwani na sisi tukisema tunataka wanaume wenye pesa kabisa kuna ubaya gani?
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
Labda kama ananikra!
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..🍾🍷🍾

Inategemea kama wewe ni mpagani, mristo au muislam.....
 
Halafu hivi mbona sisi tukisema tunataka wanaume wenye pesa mnatuponda? Mbona nyie mnasema mnataka wanawake wenye akili za maisha kwani na sisi tukisema tunataka wanaume wenye pesa kabisa kuna ubaya gani?
Sasa pesa lazimaa...utakulaa maweee
 
Kwa misingi ipi yaani kwa mfano? Ukisema hivyo unamaanisha kwamba hata yeye natakiwa nimkute kajitunza hajawahi kufanya mapenzi na mwanamke yeyote ila kama na yeye alishawapitia wanawake wengine huko na wengine aliwatoa bikira basi anatakiwa ajue kuwa pia kuna wanaume wenzie nao walimpitia mke wake mtarajiwa maana hata yeye aliowapitia ni wake za watu watarajiwa

Yaani kwenye hili swala hamuwezi kutulaumu wanawake tu sababu nyie ndo mnaongoza kutaka ngono kabla ya ndoa halafu mwisho wa siku mnawaacha watoto wa watu waende kuolewa na kina nani sasa? Ndo maana na wewe itabidi upate aliyetumika kama ambavyo wewe uliwatumia wa wenzio yaani wewe usijitunze halafu kabisa unataka upate aliyejitunza? Are you serious? Ofcourse you are not serious.

Hakuna anayekulaumu kwa kutoa bikra yako. Yalikuwa mapenzi yako mwenyewe wala hukulazimishwa.

Ila jua kuwa mwanamke asiye na bikra hata awe mzuri kiasi gani. Hata awe na mali kiasi gani. Hata awe na cheo gani bado atabaki kuwa Mkosi na laana kwa atakaye muoa.

Wewe unataka mwanaume anayejitunza. Utajuaje kama anajitunza au hajitunzi ikiwa hana alama.

Yaani vijana wa siku hizi hata bikra ya akili ilishatolewa na kuharibiwa. Uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.
 
Ukikua utaacha...
 
Wati hadi leo mnatafuta wenye Bikraa??? Duuh tumetofautiana sanaa mwanaume 25+ badala ya kuwaza kupata demu mwenye akili ya maisha unakomaa kutafuta vibikra...

Mkuu hili swala ni zaidi ya ulijuavyo. Utaweza kusema binti fulani anaakili ikiwa alishindwa kutumia akili akadanganywa na mtu asiyemuoaji mpaka bikra ikatolewa.

Ikiwa alishindwa kulinda bikra yake ataweza kweli kulinda mapenzi yenu.

Ni bora mwanamke mjinga lakini muaminifu, Msafi, Mwenye kujua thamani yake kuliko jianamke Linaloonekana linaakili lakini sio mwaminifu, Mchafu kama mbwa, Asiyejua thamani ya mwili wake.

Hao ndio mnawataka siku hizi lakini cha moto mnakipata.

Akili zake hazitakusaidia kitu ikiwa hakuwa mwaminifu.

Alafu mwanaume halisi hawezi tegemea akili za mwanamke hata kwa utani. Sijui vijana wa siku hizi mmelishwa nini. khaaah
 
trust me, pale mlipoambiwa ishi nao kwa akili ndo hapa sasa...alafu hawa watu huwa wanasema vityu kinyume nyume...ukisikia bila ndoa ujue mapema haina shida....
Kingine apoo anakuwa anakutrick tyuu ...wadau wa kenya wanaita triiiick saaana....kuna vityu unavikuta ukiwa umeshaingia ndo kama icho tukumbuke msingi mkubwa wa mahusiano ni kuhusiana ...
Muhimu usiwe na pupa mazuri yako mbeleni ...mpeleke dinner, aje geto mara kadhaa, mpeleke outing za mikoani mkipata nafasi, mpe vizawadi, nenda nae movie kule kwenye giza mbaka jiran yako usimuone wakati yupo zero distance ..minakwambie ukiambulia patupu utakuwa huna bahati kweli...akichomoka kotee ukooo duu uyoo oa sasa
Wewe jamaa fundi kama mie,me niliambiwa hivi nikasema ok na nikasapoti.Anakuja tunapika tunakula, outing,n.k but tunaishia busu tu.Na keshaniamini balaaaaaaaaaa,na naona Kwa makeke nayomfanyia anatamani nimpe na mie waaala sijigusi.
 
Mkuu hili swala ni zaidi ya ulijuavyo. Utaweza kusema binti fulani anaakili ikiwa alishindwa kutumia akili akadanganywa na mtu asiyemuoaji mpaka bikra ikatolewa.

Ikiwa alishindwa kulinda bikra yake ataweza kweli kulinda mapenzi yenu.

Ni bora mwanamke mjinga lakini muaminifu, Msafi, Mwenye kujua thamani yake kuliko jianamke Linaloonekana linaakili lakini sio mwaminifu, Mchafu kama mbwa, Asiyejua thamani ya mwili wake.

Hao ndio mnawataka siku hizi lakini cha moto mnakipata.

Akili zake hazitakusaidia kitu ikiwa hakuwa mwaminifu.

Alafu mwanaume halisi hawezi tegemea akili za mwanamke hata kwa utani. Sijui vijana wa siku hizi mmelishwa nini. khaaah
Kafiee mbelee huko na upuuzi wako...!! kazi kugongaa vitoto vya watu na kuviharibu afu unakuja kutuimbia story za Bikra hapaa...Hao uliowatoa ina maana wasiolewe au??? Ushambaa ndo unaokusumbuaa kijanaa ukikuaa utaacha
 
Hahahaa!!

Siku hizi ushamba ni kuoa mwanamke bikra na Ujanja ni kuoa mwanamke pagama.

Wewe ni mjanja unayetumia old fasheni iliyotumiwa na wenzako. Ni sawa sasa hivi uvae nguo ya miaka ya 90.

Wewe ni mjanja unayetumia Teknolojia iliyotumiwa na wenzako wakati wenzako walipita huko kitambo.

Wahenga walisema, GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO.

Kama huo ndio ujanja kwa kweli siutaki.
 
Sasa hapo anakuwa amekubali au "anakufikiria"? Afu ukute hata bikira yenyewe ilishabomolewa

Yaani univulie chupi baada ya ndoa? Nikikuta huna K?

Mimi bhana ili nikuoe sio univulie chupi tu bali na mimba juu! Ndoa itafungwa ukiwa na mimba ya miezi 9 au mtoto kashazaliwa.
Umetisha mkuu
 
Hahahaa!!

Siku hizi ushamba ni kuoa mwanamke bikra na Ujanja ni kuoa mwanamke pagama.

Wewe ni mjanja unayetumia old fasheni iliyotumiwa na wenzako. Ni sawa sasa hivi uvae nguo ya miaka ya 90.

Wewe ni mjanja unayetumia Teknolojia iliyotumiwa na wenzako wakati wenzako walipita huko kitambo.

Wahenga walisema, GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO.

Kama huo ndio ujanja kwa kweli siutaki.
Safari njemaa..!
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..🍾🍷🍾

mie nakubaliana nae kabisa....under one condition. anihakikishie kuwa yeye ni virgin.
 
Back
Top Bottom