trust me, pale mlipoambiwa ishi nao kwa akili ndo hapa sasa...alafu hawa watu huwa wanasema vityu kinyume nyume...ukisikia bila ndoa ujue mapema haina shida....
Kingine apoo anakuwa anakutrick tyuu ...wadau wa kenya wanaita triiiick saaana....kuna vityu unavikuta ukiwa umeshaingia ndo kama icho tukumbuke msingi mkubwa wa mahusiano ni kuhusiana ...
Muhimu usiwe na pupa mazuri yako mbeleni ...mpeleke dinner, aje geto mara kadhaa, mpeleke outing za mikoani mkipata nafasi, mpe vizawadi, nenda nae movie kule kwenye giza mbaka jiran yako usimuone wakati yupo zero distance ..minakwambie ukiambulia patupu utakuwa huna bahati kweli...akichomoka kotee ukooo duu uyoo oa sasa