Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
- Thread starter
- #41
Kipenzi21 century
Kipenzi21 century
🙄🙄🙄🤔inavyotakiwa ndio hivyo no sex before marriage, sasa siku ya ndoa jamaa anakuta kumbe na wewe sio bikra. Yaani mngetunza bikra ungekuwa na nguvu asilima 100 ya kukataa sex before ndoa. wewe unasemaje sasa jamaa akisubiri afu akute hamna kitu umetumika sana tu
Tafadhari Mimi sio MC pilipiliN'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???
Weekend Nono"..🍾🍷🍾
Nikweli lakini sisi wa kiume huwa tuna njia nyingi ambazo mwisho wake unakuaga na haya manenoYuko serious kweli D
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???
Weekend Nono"..![]()
inavyotakiwa ndio hivyo no sex before marriage, sasa siku ya ndoa jamaa anakuta kumbe na wewe sio bikra. Yaani mngetunza bikra ungekuwa na nguvu asilima 100 ya kukataa sex before ndoa. wewe unasemaje sasa jamaa akisubiri afu akute hamna kitu umetumika sana tu
Mungu anawaonaaNikweli lakini sisi wa kiume huwa tuna njia nyingi ambazo mwisho wake unakuaga na haya maneno
Imetokea bahati mbaya sikukusudia ..
Ni Pombe tu haikua akili yangu...
Ndiwooooo😋kwa nine?
Nikweli lakini sisi wa kiume huwa tuna njia nyingi ambazo mwisho wake unakuaga na haya maneno
Imetokea bahati mbaya sikukusudia ..
Ni Pombe tu haikua akili yangu...
miss youKipenzi
Baaaah nakuuliza kwa nini unasema ndio banewe vipi kwaniNdiwooooo![]()
Babu Shikamoo.Sasa hapo anakuwa amekubali au "anakufikiria"? Afu ukute hata bikira yenyewe ilishabomolewa
Yaani univulie chupi baada ya ndoa? Nikikuta huna K?
Mimi bhana ili nikuoe sio univulie chupi tu bali na mimba juu! Ndoa itafungwa ukiwa na mimba ya miezi 9 au mtoto kashazaliwa.

Naomba kufahamishwa hiyo "break mapaja" tafadhali kama hutojaliYeah lazima iwe hivyo. kuna mengi yapaswa kujulikana before commitment..hebu fikiria unakuta kama alivyosema mdau hapo juu kwamba unakuta no marinda, au breki mapaja and so on...itakuaje
Sasa hapo anakuwa amekubali au "anakufikiria"? Afu ukute hata bikira yenyewe ilishabomolewa
Yaani univulie chupi baada ya ndoa? Nikikuta huna K?
Mimi bhana ili nikuoe sio univulie chupi tu bali na mimba juu! Ndoa itafungwa ukiwa na mimba ya miezi 9 au mtoto kashazaliwa.
Hii haitokei siku za mwanzo hadi mazingira ya uaminifu yatengenezwe kwanzaSasa mpaka mwanamke unaona mpenzi wako mnywa pombe eti unaendelea kumuamini tu ahahahahhahahaha.daaaaaah hatari kweli.
Kila action lszima iwe na reaction yake tu.
Here always...😚miss you