Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,336
- 10,895
Hii kauli ya mwisho rudisha kinywani kwako wewe mwenyewe unatumika kama kawaida
Mwanaume hatumiki. Labda awe shoga. Vinginevyo utake tuu ubishi.
Hii kauli ya mwisho rudisha kinywani kwako wewe mwenyewe unatumika kama kawaida
Mwanaume hatumiki. Labda awe shoga. Vinginevyo utake tuu ubishi.
Kwahiyo mpaka mnjunjane...?
Na kwa vile ubishi siuwez umeshinda mkuu
Na kwa vile ubishi siuwez umeshinda mkuu
Duh!!na ujanja wangu wote hii breki mapaja ndio kwanza naskia hapa.ndio kitu gan hii mkuu???Yeah lazima iwe hivyo. kuna mengi yapaswa kujulikana before commitment..hebu fikiria unakuta kama alivyosema mdau hapo juu kwamba unakuta no marinda, au breki mapaja and so on...itakuaje
theodore?how?Ndiyo me and my wife ...
Hatukuwahi kufanya sex before marriage ...
Hata denda ....
Now our son is theodore ...
Kivp mkuu sijakuelewatheodore?how?
Your son is theodore?mbona kama hilo ni jina la kikeKivp mkuu sijakuelewa
Hapana ni la kiume mkuuYour son is theodore?mbona kama hilo ni jina la kike
Theodore bagwell T-Bag usiombe akawa na tabia za yuleHapana ni la kiume mkuu
hapana anataka aje kuwa pastorTheodore bagwell T-Bag usiombe akawa na tabia za yule
Mkuu ukisema wanawake wajitunze automatically unamaanisha na wanaume nao pia wajitunze kwa sababu hizo bikira hazitoki zenyewe ninyi ndo mnazitoa kwahiyo kabla haujataka mwanamke bikira hakikisha kwanza na wewe ni bikirainavyotakiwa ndio hivyo no sex before marriage, sasa siku ya ndoa jamaa anakuta kumbe na wewe sio bikra. Yaani mngetunza bikra ungekuwa na nguvu asilima 100 ya kukataa sex before ndoa. wewe unasemaje sasa jamaa akisubiri afu akute hamna kitu umetumika sana tu
Mkitaka kuoa mabikira ndo acheni kuomba mchezo kabla ya ndoa sasa yaani kwa maana nyingine ni kwamba jinsia zote zijitunze maana hizo bikira hazijitoi zenyewe etiBila Bikra siwezi kuoa.
Ndio maana mwanamke akinambia ananipenda na ni bikra alafu mimi simpendi abadan siwez kumtoomba.
Natoomba Malaya waliotolewa bikra. Naharibu vilivyoharibiwa. Na Najisi vilivyonajisiwa. Nachafua vilivyochafuliwa.
Siwezi kutakasa kilichonajisiwa na mwingine. Siwezi Safisha kilichochafuliwa na mwingine. Siwezi unda kilichoharibiwa n Mwingine.
Kwa ufupi. Nikisikia Mwanamke hana bikra namuona kama Mhuni fulani hivi asiyestahili kabisa kuolewa na Mimi.
Mwanamke asiyebikra namchukulia kama mtu aliyetoa mimba.
Namchukulia kama shimo la Taka ambalo kila mwenye uchafu anakuja kuutupa kwenye shimo lake.
Mwanamke Asiye na Bikra ni bora awe ameolewa na kuachika au mumewe amefariki. Huyu thamani yake ni kama Makombo.
Kiufupi Kuoa mwanamke asiyebikra ni uchafu katika nyumba. Yaani ni kama Mbwa ambaye ni mchafu asiyejali idadi ya maumbwa dume.
Nashukuru kwa Misimamo yangu imenisaidia kupata furaha katika maisha.
Kwa kujibu swali lako. Mimi mwanamke kama ni bikra sina haja ya kusubiri siku ya ndoa wakati mimi wa leo ndio huyo wa siku ya ndoa. Halikadhalika na yeye.
Anipe tuu.
Khaa sasa ukisema hivyo unamaanisha nini? Kwani wanawake hizo bikira zinatolewa na kina nani? Mkisema wanawake wajitunze automatically mnamaanisha na wanaume nao wajitunze labda kama nyie mtakuwa mnafanya na wanyama huku wanawake wakiwa wanajitunzaMwanaume Anabikra?
Nyie endeleeni Kujilinganisha wakati nyie ni watumiwaji sisi ni watumiaji