Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
Na me ntamwambia "No Money to Give before Marriage"
 
Wanaume tunashuhudia mengi wewe....nlishawahi kukutana na K ina meno. Hiyo ndo siku niligundua nina kipaji cha riadha. Tena MARATHON...
Jizazii😂meno????hukung'atwa sasa???

Umenikumbusha movie ya TEETH
 
Tena kwa upande wangu hayo mahusiano hayatadumu hata miezi 2, bila mgegedo.!
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..🍾🍷🍾
Yap nakubali........
ukitaka kujua tabia za mwanamke vizuri usi sex nae kwanza, uki sex nae kwanza ndo ujifanye unataka kujua kuhusu yeye umepotea hakuna utaambulia
 
Hii njianhuwa salama sana endapo mtu anapata mtu sahihi.

Inatakiwa mwanamke ajiweke katika mazingira ambayo hata mwanaume mwenyewe aone aibu kuomba penzi kabla ya Ndoa.

Lakini kwa mwanamke ambae amejiweka mazingira ambayo mwanaume anashawishika kuomba penzi kabla ya ndoa kwa nini mwanaume asiombe kuzini na huyo mtu?

Kwa sababu kama anavaa kwa kutamanisha na kujiweka mazingira hayo basi kuombwa penzi ndio reaction ya action ya mazingira anayojiweka.

Kila kitendo lazima kiwe na athari zake.
Kitendo cha mwanamke kujiweka mazingira ya kuvutia kingono na kuwatamanisha wanaume wengine basi athari zake ni kuwa mwaanaume hatokubali kumuacha hivi hivi wakati kila siku akimtamanisha kwa mavazi adimu kama hayo.

Na mwanaume hawezi kuamini kwamba ni kweli unajitunza mwanamke wakati mazingira yakko yanaonesha kwamba haupo kwa kujitunza.

WANAWAKE WANAFANYA KOSA KUBWA kuwaamini wapenzi wao(wachumba).
Wanawake sikilizeni : mwanaume pekee unaepaswa kumuamini ni mumeo tu" kwa sababu huna uhakika kwamba huyo utakayempa penzi kama atakuoa au atakuacha.kwa hyo kama anashida kweli akusubiri.

Lakini pia wanaume nao tuna matatizo sana.hivi unamuoaje na kumuamini mwanamke ambae alikubali kukupa penzi kabla ya ndoa?

Kama aliweza kukupa penzi wewe ambae sie mumewe na hujamuoa je atashindwa kuwapa wengine penzi ambao pia sio waume zake na hawajamuoa?... Una nini cha ziada mpaka ujiamini kwamba anakupa penzi peke yako?.

Hahahahhaahha MOTHER confessor
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
 
Kama bikra nitakubali, na sio tuu ntakubali kwa maneno hapana, itabidi niione hymen kwa macho yangu kwani mwanamke bikra na asiye bikra ni rahisi sana kumjua.

Kama sio bikra na hataki tufanye mapenzi basi hapo kuna walakini.

Pia itategemeana na length ya uchumba wetu, kama utakuwa uchumba wa muda mrefu basi kukwanyuana ni muhimu, unless otherwise atataka nitafute mwingine wa kumaliza shida za kibailojia.
 
na siku hizi wengi wamechomoa sana mimba aiseee
hadi nikupige cha kati ndio tunatangaza ndoa bila hivyo utabakia na papuchi yako hadi uzeeeni
uanze kujiiita single maza mnaweza

Ila akiwa bikira mbona nitaweza tuuuu
ha ha ha ha ah ah
 
trust me, pale mlipoambiwa ishi nao kwa akili ndo hapa sasa...alafu hawa watu huwa wanasema vityu kinyume nyume...ukisikia bila ndoa ujue mapema haina shida....
Kingine apoo anakuwa anakutrick tyuu ...wadau wa kenya wanaita triiiick saaana....kuna vityu unavikuta ukiwa umeshaingia ndo kama icho tukumbuke msingi mkubwa wa mahusiano ni kuhusiana ...
Muhimu usiwe na pupa mazuri yako mbeleni ...mpeleke dinner, aje geto mara kadhaa, mpeleke outing za mikoani mkipata nafasi, mpe vizawadi, nenda nae movie kule kwenye giza mbaka jiran yako usimuone wakati yupo zero distance ..minakwambie ukiambulia patupu utakuwa huna bahati kweli...akichomoka kotee ukooo duu uyoo oa sasa
 
Hii njianhuwa salama sana endapo mtu anapata mtu sahihi.

Inatakiwa mwanamke ajiweke katika mazingira ambayo hata mwanaume mwenyewe aone aibu kuomba penzi kabla ya Ndoa.

Lakini kwa mwanamke ambae amejiweka mazingira ambayo mwanaume anashawishika kuomba penzi kabla ya ndoa kwa nini mwanaume asiombe kuzini na huyo mtu?

Kwa sababu kama anavaa kwa kutamanisha na kujiweka mazingira hayo basi kuombwa penzi ndio reaction ya action ya mazingira anayojiweka.

Kila kitendo lazima kiwe na athari zake.
Kitendo cha mwanamke kujiweka mazingira ya kuvutia kingono na kuwatamanisha wanaume wengine basi athari zake ni kuwa mwaanaume hatokubali kumuacha hivi hivi wakati kila siku akimtamanisha kwa mavazi adimu kama hayo.

Na mwanaume hawezi kuamini kwamba ni kweli unajitunza mwanamke wakati mazingira yakko yanaonesha kwamba haupo kwa kujitunza.

WANAWAKE WANAFANYA KOSA KUBWA kuwaamini wapenzi wao(wachumba).
Wanawake sikilizeni : mwanaume pekee unaepaswa kumuamini ni mumeo tu" kwa sababu huna uhakika kwamba huyo utakayempa penzi kama atakuoa au atakuacha.kwa hyo kama anashida kweli akusubiri.

Lakini pia wanaume nao tuna matatizo sana.hivi unamuoaje na kumuamini mwanamke ambae alikubali kukupa penzi kabla ya ndoa?

Kama aliweza kukupa penzi wewe ambae sie mumewe na hujamuoa je atashindwa kuwapa wengine penzi ambao pia sio waume zake na hawajamuoa?... Una nini cha ziada mpaka ujiamini kwamba anakupa penzi peke yako?.

Hahahahhaahha MOTHER confessor
Daku la leo litakuwa amazing woiii😍😍
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..🍾🍷🍾
inavyotakiwa ndio hivyo no sex before marriage, sasa siku ya ndoa jamaa anakuta kumbe na wewe sio bikra. Yaani mngetunza bikra ungekuwa na nguvu asilima 100 ya kukataa sex before ndoa. wewe unasemaje sasa jamaa akisubiri afu akute hamna kitu umetumika sana tu
 
Back
Top Bottom