Gomegwa G
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 414
- 539
Duuh!Mkuu umeongea Point kubwa sana..!!
Ukiona mwanamke unadate nae anakwambia No sex na sio Bikra walahi naapa kabisa KUNA MWANA ANAMLAAA...KUNA MSHKAJI ANAMGONGAA....KUNA MUHUNI ANAMTAFUNAA..!! Na wengi wao hujificha kwenye Kivuli cha dinii wangese sanaa... Huu umri huwezi niambia huoo upuuzi
Mwanangu umelenga mule mule yan



