Swali kwa Wanaume

Swali kwa Wanaume

N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
Kama una bikra yako mumu nakukubalia tu kiroho safi,ila kama huna hata moja,hapo ni hell no!
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..
Nitavunja mahusiano kwa sababu kwa sasa mambo ni mengi halafu muda ni mchache. MTU ameshavurugwa halafu anaanza kukuambia ooooh...no sex had ndoa. Ndoa zenyewe kama ni ya kikristo hapo umelamba dume na kumwacha ni shuguli. So kama umekumbana na hiyo changamoto pambana na hali yako. Saaaasawa kijana
 
Ni ngumu kutimiza hiyo uliyoweka kwenye mabano kama hujapiga...ni ngumu mnoo lazima upige kwanza ndio hapo unaanza kumpenda kwel au uongo uongo
 
N'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???

Weekend Nono"..🍾🍷🍾
Bila bikra hapana, unavumilia kumbe kuna lijamaa linaitwanga k kwa kukomoa kisa tu anaolewa. Cku ya ndoa unaimaliza na stress , ulitegemea ungekutana na kitu mnato lakini unakutana na k imelegea huku akiwa na nyege za cku tatu.
 
Back
Top Bottom