Swali kwa wanandoa

Swali kwa wanandoa

Ni jambo la ajabu kujua rafiki wa mkeo?./mume?.
kwa mfano mimi sina rafiki madam. Wote twakutana kazini baada ya hapo kila mtu kivyake. Sitaki marafiki wa kuzurura nao hovyo ndivyo nilivyo mimi. Labda wenye marafiki.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Marafiki kazi yao ni kuzurura tu kwani...?.
Mhhh huna rafiki..hata ulosoma nao shule au chuo.?shughulii
 
Ninao lakini hatutembeleani majumbani. Twakutana kazini na kwenye biashara tu, nje ya hapo kila mtu na hamsini zake

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Ninao lakini hatutembeleani majumbani. Twakutana kazini na kwenye biashara tu, nje ya hapo kila mtu na hamsini zake

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
So u dont drink with ur friends ever?.
 
Back
Top Bottom