Note:
1. Nimeongelea sehemu mahsusi ya tamko la Dk Hosea
2. Emergency powers act inamruhusu Rais kuwa selective
3. Akili yangu fupi itakusumbua sana tu, we endelea kushambulia mleta hoja badala ya kujadili hoja
4. Umama, ubaba, uvulana, usichana havina nafasi katika usanifu, utetezi na ubomozi wa hoja.
Jielekeze ktk hoja
Kwa hiyo tamko lake linawahusu chadema pekee? CCM, Simba na Yanga na wengineo nchini haliwahusu?