Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

Hakuna tofauti ya Mbowe na Cdm . Hapo juu umesema ni haki Cdm kuzuiliwa kukutana na wananchi . Katiba kwanza

Kikubwa wasomi badala ya kumsaidia mama awe kiongozi wa mfano duniani. Mmeamua kumpoteza mazima na kujaribu mkono wa chuma.

Kudanganya taifa kwamba kipaumbele namba moja cha Taifa ni Katiba mpya ni kosa kubwa sana. Ni obstruction dhidi ya mipango ya serikali. Mama hajadanganywa, amechukua hatua kulinda interests za serikali yake
 
Soma bandiko limetaja
Utaratibu wa kutangaza hali ya hatari ukoje kikatiba? Isitoshe hata dikteta Samia alipokuwa anazungumza na wahariri hakutamka neno hali ya hatari, sasa hiyo hatari inakujaje?
 
Soma quarterly reports za BOT achana na hotuba za jukwaani wewe. Hujua kanuni za kuandaa trusted sources kwa ajili ya tafiti?
Yaani matamko,taarifa na maelekezo ya waziri mkuu wa nchi unaita ni matamko ya majukwaani?!Uko vyema kichwani?Unaelewa kuwa waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali na taarifa zake ni taarifa za serikali?Unaelewa kuwa taarifa za waziri mkuu ni trusted source?
 
Utaratibu wa kutangaza hali ya hatari ukoje kikatiba? Isitoshe hata dikteta Samia alipokuwa anazungumza na wahariri hakutamka neno hali ya hatari, sasa hiyo hatari inakujaje?

Mawili

1. Kutamka kuwa uchumi umeshuka toka GDP ya 6.8 hadi 4.8 ni tangazo la hali ya hatari katika sekta ya uchumi bila shaka

2. Kuna njia mbili za kutangaza hali ya hatari (1) kupitia Ikulu na Bungeni kama hatari inahusi nchi yote na sekta zote au (2) kupitia ikulu pekee kama namba (1) haihusiki
 
Yaani matamko,taarifa na maelekezo ya waziri mkuu wa nchi unaita ni matamko ya majukwaani?!Uko vyema kichwani?Unaelewa kuwa waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali na taarifa zake ni taarifa za serikali?Unaelewa kuwa taarifa za waziri mkuu ni trusted source?

PM ni trusted source akiwa Bungeni pekee. Nje ya hapo tuna Rais mtendaji.
 
Kudanganya taifa kwamba kipaumbele namba moja cha Taifa ni Katiba mpya ni kosa kubwa sana. Ni obstruction dhidi ya mipango ya serikali. Mama hajadanganywa, amechukua hatua kulinda interests za serikali yake
Fact hiyo haiwezi kuhalalisha obstruction against government plans
Maghufuli alitumia lugha hii hii ya kuinyoosha nchi na kujenga uchumi. Ili kuzuia katiba mpya ya wananchi. Lakini umekiri mwenyewe kwa kipindi chake uchumi umeanguka toka 6.9% to 4.8% . Sasa huyu naye arudie ulaghai huo huo kunyamazisha katiba ?!.

By the way msomi kama wewe katiba iliyo fair kwa wote inakukera nini ?!. Na mwisho Ccm kama chama kikongwe na kilichojiimarisha kwa wananchi . Inaogopa katiba bora kwa nini ?!
 
Sorry, sijasema popote kuwa uchumi umeanguka wakati wanMagufuli. Make correction
 
Note:

1. Nimeongelea sehemu mahsusi ya tamko la Dk Hosea

2. Emergency powers act inamruhusu Rais kuwa selective

3. Akili yangu fupi itakusumbua sana tu, we endelea kushambulia mleta hoja badala ya kujadili hoja

4. Umama, ubaba, uvulana, usichana havina nafasi katika usanifu, utetezi na ubomozi wa hoja.

Jielekeze ktk hoja
Akili fupi haiwezi kunisumbua hata siku moja.
 
Ndio. "Nataka muda nisimamishe uchumi" rais alisema
... mipango ni lazima iwe SMART vinginevyo kuielezea kijumla jumla ni siasa; more specifically ni hadaa za kisiasa as usual. By the way, "kusimamisha uchumi" sio tiketi ya kuzuia maisha mengine ya kijamii na kisiasa kuendelea. Ni lazima mambo yaende parallel.
 
Exactly. Hawa chadema ndio wana divert attention ya umma kwa kusema eti mipango ya serikali sio kipaumbele namba moja cha Taifa. Hakuna mtawala popote duniani atakubali mipango yake iwe frustrated hivyo na asichukue hatua
You see how stupid you are?

Bora baba ako angekojolea kwenye mfuko tu kuliko kuzaliwa mtu kama wewe.
 
Back
Top Bottom