Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Rafiki unauliza au unatoa taarifa???Hiyo ni pesa nyingi sana eee?
Wewe dada nilikumis
Mzee mama na wewe una ka uzoefu na hao ma escort. Vip wanapatikana huko kwenu ?Hao ni malaya professional. Ukimkuta ijumaa usiku katia blonde make up ya kutosha na jina anachange. Jumatatu asubuhi ukikutana nae ukiambiwa ndo yule wa ijumaa usiku unabisha. Wanakuaga mpka na website special ya kazi.
Utakuwa sawa na anayefanya human trafficking.Hao hawakai bar kusubiri mteja. Biashara inaenda kwa simu ama email. Sio mpala mtu akatege Serena ndo adake kichwa. Nikipata hela natafuta watoto wazuri nawatengeneza nawafanya escorts. Wateja wangu wanakua wanasiasa na matajiri baaasi.
Mzee mama na wewe una ka uzoefu na hao ma escort. Vip wanapatikana huko kwenu ?
Utakuwa sawa na anayefanya human trafficking.
Mzee a.k.a kungwi la vijana anakuwa na maufundi yake ya kikongwe.Mtakua mnakosa adabu sasa wateja. Yani muache kula vitoto vidogo vibichi muhangaike na kizee mimi?
hebu nitafutie katoto kazuri, kalichoumbika kwa bei yoyote na kamisheni yako ni 100k.Hao hawakai bar kusubiri mteja. Biashara inaenda kwa simu ama email. Sio mpala mtu akatege Serena ndo adake kichwa. Nikipata hela natafuta watoto wazuri nawatengeneza nawafanya escorts. Wateja wangu wanakua wanasiasa na matajiri baaasi.

Hivi umemuamini kabisa?Hongera sana dadaangu!
Hapa mzee mama umeongea kwa experience sana.Wale wakaa bar hata 50k unabeba. Kwanza fifte nyingi. Wale wanaendaga na nauli tu.Hawajali kazi yao kabisa. wadangaji ndo wanaweza kujihudumia. Mtu anakaaa Karambezi na laptop ajitia ana kazi kumbe anachat JF anasubiri mtu amuongeleshe ambebe
Mzee a.k.a kungwi la vijana anakuwa na maufundi yake ya kikongwe.
Lol. Kwahiyo ndo mzuri kumla eeh?
Hapa mzee mama umeongea kwa experience sana.
Wanapatikana mtaa gani hao wa zege ?Watu wanaliwa kwa chips zeye.. Mnauliza nini?!
Imewahi kukukuta hii ya kudanganywa I love youHaahahhaaa. Eti ndo iwe 2M bwana. Wengine wanaliwa kwa kuambiwa I Love You kumbe wanadanganywa.
Umehongwa nyumba ipi?Sasa hayo mapenzi au biashara? Umeona 2m nyingi, wenzako wanahonga majumba. Doroo.
Nitaitisha harambee hapaNipo kipenzi. Simu inaninyima raha ya kuingia huku.
Inakuwaga tamu sana hiyo. Mwezi uliopita almanusura nifungishwe na mtoto wa kipemba. Nilitoka mbio kama Usain bolt.Ilikua ndoa ya mkeka baada ya kukutwa na wazee