Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

Sawaa. Mi ubongo wangu unawaza changamoto ya maini na ndimu nyingiiiii na pilipili ya kutosha.
Nafurahia sana huu mtindo mpya wa Warembo wa JF kutumia avatar ambazo i guess ni picha zao..hongereni
 
Unaipokeaje hio kashfa
Aahh anajaribu kujifariji tu Wanaume wengi Sana siku hzi wanatumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume " so ukiona mpaka anataka kumpa mwanamke ml.2 then alale nae itakuwa amesha meza na ma-Viagra pia

" by the way kuji sale out itakuwa ndio tabia yake ".
 
Back
Top Bottom