Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,394
- 88,828
Hahahahahaaaaaa.. abiria chunga mzigo wako.
Wewe go home sasa.....
Wewe go home sasa.....
Nimekumiss tu.
Nawaza kwenda ila naona uvivu balaa.
Hahahahaa. Ngoja niende nikakulindie babe. Manake nahisi zishamuingia saa hii
Heheheee
Halafu awepo na yule bebi yule....nimemsahau jina.
Ire....sijui Ailaaaa hahahaaa fyatu fyatu kabisa!
Mama upo? Happy to see you aroundSasa hayo mapenzi au biashara? Umeona 2m nyingi, wenzako wanahonga majumba. Doroo.
Kantisha kweli!
Si unamjua alivyo huyo na akili yake.
Kakwambia nini kwanza mpaka unatishika? Phenomenal woman mtie dadako kwenye gari muondoke hapo bby kasema
Ndo nlikua nikupee ukapaaa.. Na ubize wako.Hahahahaaaa. Kama nakuona. Ile lunch yangu haiwezi kuwa Mlatie special niibuke hapo saa hizi?
Zimempanda leo....sasa na mimi niko kwa bed. Bado aumwa aumwa......leo haiwezekani.
Na yeye bado tu yupo hapo anafungua vyupa.
Ndo nlikua nikupee ukapaaa.. Na ubize wako.
Ndo nlikua nikupee ukapaaa.. Na ubize wako.
Honey wako akija niambe mkuuwewe pekee umejivu vyema, namsubiria honey wangu naye aje kusema neno
Babess anaendaaa...Hivi hapo kwa avatar unamchungulia nani?

Siyo kutega,tayari anakuwa keshabukiwa,mfano client anakuja saa mbili usiku,mida ya saa kumi na moja anazuga na glass ya wine akifanya matangazo kumbuka anakuwa keshapokea advance na chumba kimebukiwa kabla,hautakuwa umekosea ukianza kuwa mmiliki wa escort company utatengeneza sana mapene.Hao hawakai bar kusubiri mteja. Biashara inaenda kwa simu ama email. Sio mpala mtu akatege Serena ndo adake kichwa. Nikipata hela natafuta watoto wazuri nawatengeneza nawafanya escorts. Wateja wangu wanakua wanasiasa na matajiri baaasi.
Siyo kutega,tayari anakuwa keshabukiwa,mfano client anakuja saa mbili usiku,mida ya saa kumi na moja anazuga na glass ya wine akifanya matangazo kumbuka anakuwa keshapokea advance na chumba kimebukiwa kabla,hautakuwa umekosea ukianza kuwa mmiliki wa escort company utatengeneza sana mapene.
Mbona vizee ndiyo vitamu,kuna kuna escorts wana miaka zaidi ya hamsini.Mtakua mnakosa adabu sasa wateja. Yani muache kula vitoto vidogo vibichi muhangaike na kizee mimi?
Mbona vizee ndiyo vitamu,kuna kuna escorts wana miaka zaidi ya hamsini.
pesa haina umri.Hao sasa wababaifu. Wanatakiwa waachie vijana nao
Na hii ndio ID yako mpya???Moja tu. Nyingine ya kuhongwa kaka angu
Wewe dada nilikumis