Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,446
Reaction score
11,504
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe??

Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?

Screenshot_20250823_232001_Instagram.jpg
 
Tokea lini ccm wakaheshimu maamuzi ya kura?
If voting would change anything, they wouldn't allow us to vote.
 
Kuna neno pale kwenye mabadiliko ya katiba ya CCM yanasema 'kamati kuu itakavyoona',hapo ndipo wengi walipochinjiwa baharini!!
 
Back
Top Bottom