Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

Grand Canyon

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
456
924
UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA

Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake.

HISPANIA Ilitawala Kuanzia America Kskazini{Mexico Na America Kusini Nzima{Kutoa Brazil{Ureno} Suriname{Uholanzi}Nk . Nchi Zilizokuwa Makoloni Ya Hispania Zimejaa Umaskini Wa Kiwango Kikubwa,Vikundi Vya Waasi Na Drug Cartels.Alichofanikiwa Spain Ni Kueneza Lugha Kihispania Tu.

UFARANSA Ilitawala Hasa Africa Magharibi, Kati Na Kaskazini.Makoloni Mengi Ya Ufaransa Yameghubikwa Na Vita,UMASIKINI, VIKUNDI VYA WAASI{Rwanda,Burundi,DRC {?},Africa Ya Kati , Nk. Ufaransa Ilifanikiwa Kueneza Lugha Ya Kifaransa Na ni Lugha Rasmi Ya Makoloni Yake.

UINGEREZA Baadhi Ya Makoloni Yake Ni Kama Ni Kama Marekani,Kanada,India,Australia,New Zealand,Hongkong ,Nigeria, South Africa,Israel,Misri,Tanzania,Kenya , Nk.

Ukichunguza Makoloni Ya Uingereza Yamepiga Hatua Sana Kimaendeleo Iwe Ni Ya Afrca, America Au Asia, Tofauti Na Makoloni Ya Hispania Na Ufaransa.Makoloni Ya Uingereza Yana Utulivu Kiasi Fulani Kwa Kulinganishwa Na Yale Ya Ufaransa Na Hispania.

Kwenye G 8 Uingereza Ana Makoloni Yake Mawili[Marekani Na Kanada]

Kwenye G 20 Uingereza ina nchi nyingi zilizokuwa makoloni yake.

Swali Kwenu GREAT THINKERS: Kwanini Makoloni ya Uingereza yana Nafuu Zaidi?
 
Uingereza kwa ubabe wake kisiasa na kiuchumi ilichukua nchi zenye utulivu, maendeleo na ustaarabu. Wala hawakuleta au kuongeza chochote kwenye makoloni hao mabepari, wamesababisha tumekuwa maskini na mafukara. Shame!
 
Ipo hivi uingereza makoloni yake iliyaongoza kwa taratibu zote za kifalme nahata wangeenderea kutawala ni lazma nchi zingeenda kifalme
 
π•‚π•šπ•¦π•œπ•¨π•–π•π•š ....π•¦π•—π•’π•£π•’π•Ÿπ•€π•’ π•Ÿπ•š 𝕙𝕒π•₯π•’π•£π•š π•€π•’π•Ÿπ•’ π•œπ•¨π•–π•Ÿπ•ͺ𝕖 𝕂𝕦 𝕀𝕒𝕑𝕠π•₯ π•”π•£π•šπ•žπ•–π•€ π•œπ•¨π•–π•Ÿπ•ͺ𝕖 𝕖𝕩 π•”π• π•π• π•Ÿπ•šπ•–π•€ zπ•’π•œπ•–
 
Muingereza ni mzungu halisi kabisa ambaye hana makandokando.(pure white)
Pia anapoachia koloni zake amekuwa ameachia moja kwa moja..

Lakini mfaransa ni mzungu ambaye ana makandokando mengi sana..
Mzungu ambaye hata leo asili yake haijulikani,,,ni mchanganyiko wa waarabu na wazungu wahovyo hovyo.
Pia hayupo straight.. Pia katika koloni zake anakuwa anaachia kwa kalamu lakini ktk system mfano usalama wa inchi zenyewe bado anazishikilia..

Mfano ukiwa na kosa lolote likakupelekea mfaransa kukufunga jela,,basi ujuwe ukienda inchi yeyote ya kifaransa wanakujuwa,,na akikuhitaji anakukamata na kupelekwa France.
Jamaa wanamonitor system nzima za koloni zao.

Kuna siku kuna jamaa fulani wa moroco mfaransa na guinea bissau mfaransa waliwahi kuniiza swali kama hilo,,

kwamba kwann inchi zilizotawaliwa na France zipo so violence kuliko inchi za kingereza?.

Walielezea kwa kirefu sana,,ila hitimisho ni kwamba wafaransa wenyewe ni wanafiki.hawajanyooka ktk mambo yao,wala ktk utawala wao..
 
Mfaransa na mhispaniola hawakuwa tayari kuachia makoloni kirahisi na kwa amani tofauti na Muingereza ambae yeye kwa ustaarabu aliyaachia makoloni utawala kwa amani bila bughdha

Mfano ukiachana na Marekani sifahamu koloni la Uingereza ambalo wazawa/wenyeji hawakuachiwa madaraka kama mtu anapokabidhiwa gari na ufunguo
 
Sisi ni koloni la mjerumani hadi leo..na mjerumani anataka kunirudisha koloni lake kundini.
 
UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA

Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake.

HISPANIA Ilitawala Kuanzia America Kskazini{Mexico Na America Kusini Nzima{Kutoa Brazil{Ureno} Suriname{Uholanzi}Nk . Nchi Zilizokuwa Makoloni Ya Hispania Zimejaa Umaskini Wa Kiwango Kikubwa,Vikundi Vya Waasi Na Drug Cartels.Alichofanikiwa Spain Ni Kueneza Lugha Kihispania Tu.

UFARANSA Ilitawala Hasa Africa Magharibi, Kati Na Kaskazini.Makoloni Mengi Ya Ufaransa Yameghubikwa Na Vita,UMASIKINI, VIKUNDI VYA WAASI{Rwanda,Burundi,DRC {?},Africa Ya Kati , Nk. Ufaransa Ilifanikiwa Kueneza Lugha Ya Kifaransa Na ni Lugha Rasmi Ya Makoloni Yake.

UINGEREZA Baadhi Ya Makoloni Yake Ni Kama Ni Kama Marekani,Kanada,India,Australia,New Zealand,Hongkong ,Nigeria, South Africa,Israel,Misri,Tanzania,Kenya , Nk.

Ukichunguza Makoloni Ya Uingereza Yamepiga Hatua Sana Kimaendeleo Iwe Ni Ya Afrca, America Au Asia, Tofauti Na Makoloni Ya Hispania Na Ufaransa.Makoloni Ya Uingereza Yana Utulivu Kiasi Fulani Kwa Kulinganishwa Na Yale Ya Ufaransa Na Hispania.

Kwenye G 8 Uingereza Ana Makoloni Yake Mawili[Marekani Na Kanada]

Kwenye G 20 Uingereza ina nchi nyingi zilizokuwa makoloni yake.

Swali Kwenu GREAT THINKERS: Kwanini Makoloni Ya Uingereza Yana Nafuu Zaidi?
Title ya Ph D hii mkuu
 
Back
Top Bottom