Swali jepesi kwa wanazi wa CHADEMA

umri ukifika na akikidhi vigezo vinginevyo atagombea 2 hiyo ni haki yake ya kikatiba, lakini kwa sasa bado
 
Hivi Zito Kabwe ana akili ya kutosha kuwa Rais wa nchi? Sijajua, nafikiri kwenye urais kunahitaji hekima nyingi sana. Otherwise we can end up having a rubbish leadership like that of Jakaya.

Acha siasa za majitaka za UKANDA! Mbowe na Zito nani makini kiongozi?? Sababu gani mlipitisha 2005 Mbowe kugombea URAIS, CDM kwa ukabila na udini wapo mbele
 
Strategy ya siasa hauijui, si kama unavyotaka wewe. Strategy sio ku compete na wapinzani, strategy ni kukubalika na wapinzani na kupata kura za baadhi yao, kwani kura zenu pekee hazitoshi. Kumbuka hili darsa la bure nililokupa wewe na nna uhakika viongozi wako watafaidika nalo pia.

Wewe mbumbumbu, mgombea urais wa CHADEMA hachaguliwi na NAZI wala COCONUT, usituletee mambo ya CUF hapa. Mgombea huteuliwa na CC ya chama. Haya mambo kaulize kule kwenu CUF.

Na mimi nina swali kwako wewe binafsi: Kule Syria waislamu wanauawa, mbona sisikii zile kampeni zenu za kulaania mauaji ya waislamu?

Au 10 wakiuawa kwa sababu za kiusalama na Israel inakuwa issue lkn 8000 wakiuawa na Al Assad kwa sababu za kisiasa hakuna shida? (Tafadhali jibu bila unafiki)
 
Huyo ni Zitto, mimi nauliza wanazi wa chadema.
download
 
HAtukubali.........kwanza MUISLAM,pili HATOKI KASKAZINI
CCM wakitaka kuheshimika miongoni mwa wananchi wanaotumia mitandao ya kijamii kama JF, wangetafuta watu wenye vichwa safi, then wawape shule nzuri, then ndio wapewe kazi hii....

bila hivyo, mnazidi kuonyesha mlivyo watu wa hovyohovyo tu.
:photo:
 
2nahitaji viongozi bora co bora kiongozi. Anaejua matatizo ya wananchi wake, co porojo nyingi lakn actions hakunaa.
 
Haya ndio majibu ya wanazi wa chadema, yasomeni vizuri, mtawaelewa tu ni watu wa aina (or is it kanda) ipi.

Hata mm nikisoma aya zako najua kuwa nyani hata ukimbadili rangi atajulikana kwa mkia wake. Kwa kusoma upuuzi wako mtu atagundua kuwa FF hakufa, lilikufa jina lake tu.

Syria Hoyeeeeee!
Waislamu wa Syria wanatesa na ndio maana tuko kimya.
 
Hivi kweli mtu ambaye unajihita great thinker unaweza kaa ukaandika makamasi kama haya? Kwanini watanzania mnapenda kkupoteza muda kwa kuandika mambo yasiyo na tija kwa taifa hili? Umaskini wetu unachangiwa kwa karibia asilimia 20 kwa kupoteza muda na kufanya mambo ya kipuuzi kama haya. Nenda kajifunze kuandika kama mtu mwenye akili timamu.
 
Nadhani Jf umekuwa na mtandao wa watu ambao wameishiwa busara kwa sasa yaani from Great Thinkers to Min-Miser Thinkers.
Hivi kweli tunaweza kuwa na raisi hapa Tanzania bila kutoka kanda yoyote?Tunaweza kuwa na raisi asiyekuwa na dini au imani yoyote? Kama ndo hivyo basi raisi wa nchi atokee nchi nyingine ingawa ni vigumu na kuzalilisha jumuiya ya watanzania.
 
Nauliza hivi;

Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
Ama kweli kama unauza utumbo usiogope nzi,Urais siyo taasisi ya mtu au kikundi fulani so long as chama kikimteua atagombea, so rudi utazame katiba za vyama na acha uvivu wa kufikiri, cyo lazima uelezwe kila kitu ndugu yangu.

  • spy.gif.pagespeed.ce.Nj977QnFY_.gif

 
1. Hajatimiza umri wa kuwa mgombea urais kama katiba ya nchi inavyotaka.
2. Urais unataka Mtu mwenye uwezo wa kufikiri na kuamua kwa utaratibu Hekima na Busara Zitto bado anajaziba na maamuzi yanayokosa busara,
3. Zitto Kabwe Haaminiki kwa maana ya kwamba ni raisi kununuliwa na kutumiwa
4. Ni mtu mwenyekukurupuka kama ilivyo kwa vijana kuwa na jaziba ya kuona wako sahihi sana kumbe hapana
5. Hana sifa ya kuwa mgombea kwa kua wapo walio na sifa nyingi na nzuri zaidi kuliko Zitto
6. Zitto hana sifa coz amekuwa ni sehemu ya migogoro ktk CDM yaani Haisaidii CDM kujijenga,

haufuatilii siasa za Tanzania,hauijui siasa..kakojoe ukalale mapema.
 
Back
Top Bottom