Kama vya Kikwete?
kuwa mjanja kidogo,acha marumbano ya kizamani.
Kama vya Kikwete?
Nauliza hivi;
Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
Huyo ni Zitto, mimi nauliza wanazi wa chadema.
Kweli wewe akili yako haikutoshi, kwani umeshindwa kulisoma hilo jina kwamba nmi Mnyalukolo? Hata ukashindwa kusoma pia hata hiyo location ya kwamba nipo Iringa? CCM wamekutuma uje umpigie debe Zitto ili akichukua nchi avurunde kuliko CCM, ili mrudishiwe nchi?Wewe utakuwa wa kanda ya Kaskazini.
Namshangaa kwamba hajaweza hata kusoma Location yangu ilihali imeandikwa hapo kwenye profile yangu. Huu ubaguzi wa kikanda utakuja uimalize nchi. Huwa inatia kichefuchefu sana unapokuta hadi kiongozi wa chama kitaifa anazungumzia habari za ukanda.Ribosome , We Bweg.e kama umetumwa na Zitto mwambie imekula kwake na kwako, we umeuliza wanazi wa CDM na wamekupa jibu simple No, hatuwezi kumpigia kura coz hata kupitishwa hatutampitisha, sababu ni kuwa Hana sifa za kuwa Rais, akili zake zinafanana na za Mkwer.e simple kamwambia hivyo, Mkuu Lukolo Hebu nisaidieni kumpaka huyu Bweg.e aliyetumwa na Zitto kama sio kujipendekeza kwa Zitto Mpaka aache kufikiri kwa kutumia Makalio
Strategy ya siasa hauijui, si kama unavyotaka wewe. Strategy sio ku compete na wapinzani, strategy ni kukubalika na wapinzani na kupata kura za baadhi yao, kwani kura zenu pekee hazitoshi. Kumbuka hili darsa la bure nililokupa wewe na nna uhakika viongozi wako watafaidika nalo pia.
Matatizo ya Watanzania ni akili finyu, hilo halihitaji uwe "genius" kulijuwa.
Hivi kwa nini Pro-Chadema JF hawamtaki Zitto Kabwe?
Sera za Majimbo in action ndani ya CHADEMA.Wewe utakuwa wa kanda ya Kaskazini.Hivi Zito Kabwe ana akili ya kutosha kuwa Rais wa nchi? Sijajua, nafikiri kwenye urais kunahitaji hekima nyingi sana. Otherwise we can end up having a rubbish leadership like that of Jakaya.
Magamba bana! ivi mmekosa hoja ya kujadili kwenye genge lenu la mafisadi hadi mnaanza kujiuliza maswali na kujijibu wenyewe?? Hovyooo....HAtukubali.........kwanza MUISLAM,pili HATOKI KASKAZINI