Swali jepesi kwa wanazi wa CHADEMA

huna cha kuandika zaidi ya CDM mbona yapo mengi? Yule mwenyekiti wenu wa maproffesor wa uchumi duniani pumba habari zake zimeisha?

Nauliza hivi;

Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
 
jamani mweleweni huyu risibone kama hamumjui ingieni google mclick mfumo kristo mtamjua huyu ni nani?

kwa ushauri kwake tanzania haiwezi kuendelea kama tutakuwa na watu wa aina yake na wale kina kapungu na wenzake,jk hayupo kwenye hilo.
 
Wewe utakuwa wa kanda ya Kaskazini.
Ribosome , We Bweg.e kama umetumwa na Zitto mwambie imekula kwake na kwako, we umeuliza wanazi wa CDM na wamekupa jibu simple No, hatuwezi kumpigia kura coz hata kupitishwa hatutampitisha, sababu ni kuwa Hana sifa za kuwa Rais, akili zake zinafanana na za Mkwer.e simple kamwambia hivyo, Mkuu Lukolo Hebu nisaidieni kumpaka huyu Bweg.e aliyetumwa na Zitto kama sio kujipendekeza kwa Zitto Mpaka aache kufikiri kwa kutumia Makalio
 
Haya ndio majibu ya wanazi wa chadema, yasomeni vizuri, mtawaelewa tu ni watu wa aina (or is it kanda) ipi.
 
Umekosea sana kuwauliza wanazi,ulitakiwa kuwauliza wanachama kwani ndo wana mamlaka kupitia vikao husika vya uteuzi

kajipange upya mkuu.
 
MODS pigeni ban hizi thread za kipuuzi kabisa.
Note:
yule atakaye chaguliwa kihalali na kupitishwa na chama ndio atakayekuwa Rais iwe Zitto, Slaa, Mbowe lakini isipokuwa Shibuda.
My outlook:Mi nampendekeza Dr slaa ndio awe flag barrier wa chama kwani mara nyingi ni mwenye ujasiri, mwenye msimamo unaoeleweka, tishio la mafisadi, anayeaminiwa pasipo kutiliwa mashaka yeyote na umma.
 
Swa la hapa lisiwe umri kwa kuwa Katiba mpya inaweza kuushusha kutoka miaka 40 hadi 30 ama 35. Suala hapa tuchukulie kama katiba itakuwa inamruhusu na akaamua kugombea. Napingana na yule aliyesema Zitto hana akili ya kuwa rais eti urais unataka busara. Ina maana Zitto hana busara? Mimi nasema hivi: CHADEMA wana utaratibu wa kumpitisha mgombea na huwa inainvolve hadi utafiti wa kugundua mwanachama gani anakubalika kwa wakati huo. Ni ruksa kwa Zitto kuchukua form na ni haki yake na kama chama kitafikia kumpitisha nitampa kura yangu na za wale nitakaoweza kuwashawishi. He is suitable just as Mbowe and Slaa are also suitable. Yeyote kati yao akipitishwa nitampa kura yangu!
 
Back
Top Bottom