Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,766
Nauliza hivi;
Jee, wanazi wa chadema mtamkubali Zitto kugombea Urais?
Kama ni urais wa chama cha Wapanda baiskeli Tanganyika tutakubali ila kama ni urais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania,hafai