Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,004
Ha ha ha na hii wkend,kukatika muhimu...
Hataree sijui watamfungia video auNavy kenzo... creativity at its best
Meona eeHa ha ha na hii wkend,kukatika muhimu...
ha ha ha wengine tunarukaruka tu,hatujui kukatikaMeona ee
Jifunzeha ha ha wengine tunarukaruka tu,hatujui kukatika
Jifunze
Ngumu kumezaNaomba unifundishe 'practical'
Kwan hujaangalia hio video umwone kakako Mondi na huyo bwana wa aika wanakatika?!
embu weka Internet uangalie tena video hio
Inawezekana vocha Huna za kufungua YouTube
we acha hadithi zako za abunuasi aflelaulelaMziki na kitandani ni vitu viwili tofauti
Viongozi
A mziki ni akili
Kitandani ni hisia
Two things differ
Mtu hawezi jisifu lkn husifiwa
Mondi au Nahreel?Huyo jamaa hawezi kuwa hata house boy wangu maana ana vi Elements vya Ushoga.
Katika mpaka unifungie kwa khanga, kama huna hishima wewe ni bure tu. Ndo maana tunaoa 2 hadi 4. Ila kama ni mchepuko, katika sana. Mke hana haja ya kukatika bali ajitulize vyema kwa hishima.
we acha hadithi zako za abunuasi aflelaulela
kama wanawake wako wavivu ni wao usitujumuishe sisi wengine
Hebu tutumie clip zako kwanza ndo tukupate vizuriSanaaa
Nashukuru Mungu kwa kipaji cha kitandani
Muhahahahaha
Feni mbovu peleka kwa fundi penny
Mmmh what you wrote is immaterialHahahaha huo ndo ukweli mkuu na hauwezi kubadilika
Hujiulizi kuna wanawake wantingisha kiuno na matako Acha lkn
Hawadumu kwenye mahusiano
Kwa kawaida kama upo vzr kitandani kuachika sahau kbs
Eh kwan we Huna YouTube channel yang? !Hebu tutumie clip zako kwanza ndo tukupate vizuri
Mmmh
Unayoongea ni theory
Practical utampata mnyenyekevu akakaa kama gogo bado utamkumbuka asiemnyenyekevu ukarudia kwake
Tumeona mengi
akili za wanaume tunazijua sisi akina bibi
Kwa taarifa yako hakuna mtu anaesomeka kirahisi kama mwanaume na sio mwanamkeMwanamke hawezi kuijua akili ya mwanamme, huo uwezo amna.