Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Kwa taarifa yako hakuna mtu anaesomeka kirahisi kama mwanaume na sio mwanamke
upo? !
ila kama wewe ni bachela sugu kusomwa itakuwa ngumu maana hujui kupenda ni kama jambazi flani hivi la mapenzi
Mwanamme kutulia na wewe sio kwamba umemuweza, kuna vitu uko nje hataki kuvifanya.