Swali: Je Unajua Kukatika Kitandani?!

Swali: Je Unajua Kukatika Kitandani?!

ka! kama mumeo anafurahishwa na mauno ako zaidi kuliko tabia zako ujue ww mmeo n mpenda jigijigi tu na c vinginevyo yan ww n wa kuliwa tu
Du
ndoa ya miaka 30 kapenda mauno well I guess that's fair
Sijakataa upendo upendo kila mwanamke anatoa kwa mumewe name familia yake
ila mauno is something extra everywoman should look up to
any who why am I talking to a man ambae hata ndoa hana
 
Wouuuyoooooooo!
Money Penny nime-Damshi hapa uuuuwi
Akyanani kama hujui kukatika umekwishaaaa! Kila siku utakuwa unatufungulia uzi kwanini wanachepuka wanaume wapoje wanaume sijui nini mara ngoja nikaoe nchi ya jirani mara wanaume wa mkoa ndio bora .... ode mae we katika tu

Mchaga na Msukuma wamekatikaje YouTube mpaka najiuliza hii video watafungiwa au ndio wasanii hawafungiwi?!

Kiru Money Penny naanza kurikodi video mpya YouTube kwa fyuuuujooo nikikatika .. woyoooooo!

Je wewe Unajua kukatika Kitandani au unakaa kama nguzo ya mwembe? !
Ukitaka usichepukiwe na bwanako we katika tu... narudia we katika oooo!

Alafu kukatika haina cha jinsia... jinsia zote tunakatika
Ila kama utakatika kama Feni Mpya mumeo ataenda atarudi si Unajua tena mwenda tezi na omo...

NimemDamshia Mume usiku usiku kwa kukatika.. nasubiria Round ya 2..

Shikamoo Navy Kenzo sio kwa kutukatikia huku we Mmarangu wewe!
Tunguli zimenibamba eee. Mobettoo
 
Du
ndoa ya miaka 30 kapenda mauno well I guess that's fair
Sijakataa upendo upendo kila mwanamke anatoa kwa mumewe name familia yake
ila mauno is something extra everywoman should look up to
any who why am I talking to a man ambae hata ndoa hana
aigooo.....! a man who has no marriage? alo sister niko na kaumri kakuretire now af useme hivo...! mh mh mh ila sawa nimekuelewa no more contradiction endelea amini kuwa mauno yanaweza mfanya mwanaume asichepuke ila naamin hiyo ni tabia tu ya mtu hata uzungushe kiasi gani bado anaweza cross away kama ana hako katabia
 
May be
 
Back
Top Bottom