Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Ulishaona wapi mwanamke ni king bila kuwa queen au jikeshupaa? Acha usaidiwe kabla ya kuokota makopo Barabarani! Jaribu kurudisha heshima kwa kuacha kudanga (udangaji huenda sambamba na matumizi ya nganda)
Yani wewe na elimu yako ya Dar inakuambia King ni mwanaume tu?!
Ahahahaha haha ushawahi kuonekana mshamba japo umesoma?!
Nenda katafute maana ya KING WOMAN kwenye Oxford dictionary na Google ya Pdf uone
Sio unaongea kama kichaa
Hujui vitu kaa kimya
There's a new Paradigm shift about King Women
Katafute Findings uone maanake Sio unakaa JF unajiona biingwa
Alafu urudi uniambie Kati yangu na wewe nani kichaa wa kuokota makopo
A hahaha haha wanawake wengine wanashida jamani du
 
Doh
Na malaya ni nani sa
Danga ktk kiswahili fasaha ni maziwa ya mwanzo ya mzazi, yale ya njano njano.

Kimtaani danga ni msamiati mpya wa buzi kama sijakosea, anayedanga ni malaya.
 
Doh
Na malaya ni nani sa
Ufafanuzi wa malaya katika Kiswahili

  • malaya
  • 1
    mwanamke au mwanamume mwenye tabia ya uzinzi.

    Visawe
    mlupo, mtalaleshi, guberi, changudoa, kiberenge, kahaba, kibiritingoma

  • 2
    mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.

Asili
Kar
Matamshi
malaya/malaja/
 
Yani wewe na elimu yako ya Dar inakuambia King ni mwanaume tu?!
Ahahahaha haha ushawahi kuonekana mshamba japo umesoma?!
Nenda katafute maana ya KING WOMAN kwenye Oxford dictionary na Google ya Pdf uone
Sio unaongea kama kichaa
Hujui vitu kaa kimya
There's a new Paradigm shift about King Women
Katafute Findings uone maanake Sio unakaa JF unajiona biingwa
Alafu urudi uniambie Kati yangu na wewe nani kichaa wa kuokota makopo
A hahaha haha wanawake wengine wanashida jamani du
Mie si mwanamke ni mwanaume. Hapo unajidhirisha nati ilivyolegea
 
Ufafanuzi wa malaya katika Kiswahili

  • malaya
  • 1
    mwanamke au mwanamume mwenye tabia ya uzinzi.

    Visawe
    mlupo, mtalaleshi, guberi, changudoa, kiberenge, kahaba, kibiritingoma

  • 2
    mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.

Asili
Kar
Matamshi
malaya/malaja/
hatareee... asante ONI SIGALA!
 
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili
DANGA: 1: Tunda Bichi Ambalo Halijakomaa
2: Kijana Aliyepata Malezi Mazur
3: Hangaika Kutafuta Ki2 Ambacho Ni Amdimu - Dangia,dangiwa
HATAREE
 
Sawa kidume cha mbegu ila acha kuchosha marinda yako king
KINGE BABA KINGE KIMEPONZA WENGI

HUNA TOFAUTI NA MWENZIO JOTI HAPA KWA YOUTUBE

NENDA KASOME SHULE ACHANA KUKIMBIZANA NA WATU USIOWAJUA WENYE MAISHA YAO.. UTATIA AIBU MPAKA WANAWAKE WANAKUSHINDA MAISHA NA AKILI... MIAFANDE MINGINE BWANA SIJUI HAILIPWI VIZURI!
 
Funzo la kwanza: kuandika kwa herufi kubwa ni kupiga kelele katika mtandao
 
Hako nako kadanga kako au kiBen10

narumuk ujasiri wa kimasai huu. Unampandishia mori bidada huku umekamata sime?,

Hii mori inafaa ukiwa porini mbele yako kuna Simba mnagombea mboga jamii ya swala, sio kwa mtoto wa kike, tena mrembo, mcheshi, mkarimu, mwingi wa bashasha kama honey Money Penny

Taratibu mkuu, sime na mkuki wa simu kwenye kundi la wananchi sio vyema
 
Back
Top Bottom