Swali: Hivi ni kweli?

Swali: Hivi ni kweli?

Ngoja labda nikumbuke practices zangu enzi zile za 1947....
Ila siyo kawaida sana kwa wanaume...
Ndiyo maana wengine tulijistaafia, tena baada ya upande wa pili kuzidisha ukali...Ukichomoa unakaribia kupewa kisago..lol!!

Babu DC!!

The thing l like about you is your honesty. Thanks DC
 
Nimekuona my wi; ulivyokuwa unaniprotect from Da Sophy kwa close ushirikiano na snowhite. Sasa nishajua nikianzisha ligi ikanishinda nawaita. Lol

si wajua ugomvi wangu nikishindwa ngumi narusha mawe!wala usihofu!
 
......ahh, wasichana/wanawake wengi siku hizi ukijidai ku flirt kosa! Atakusumbua na sms na calls akitaka hiki na kile mpaka kero!

Kuna mmoja nilikuwa ninachat nae kwenye fec b. Juzijuzi akaja dom akataka tuonane, nikaenda tukapiga story halafu nikampeleka mpaka alipokuwa amefikia (kwadadaake) mi nikaondoka baada ya muda kidogo akanitumia sms anataka nimpelekee chips mishikaki, kwamba dadaake hajapika, nilikuwa nimeshafika mbali nikashindwa kurudi, kesho yake (jumanne) asubui anataka nimpe 50, alfu atanirudishia ijumaa!
 
Nasema ukweli.

Flirting nyingi nilzofanya zmegeukia katika reality bt not kitandani.. Girls takes it too serious. Too bad.
 
Nasema ukweli.

Flirting nyingi nilzofanya zmegeukia katika reality bt not kitandani.. Girls takes it too serious. Too bad.

N what made you not to go all the way? Na how girls are you still friends?
 
N what made you not to go all the way? Na how girls are you still friends?

i decided not to go all the way because nlikuwa na girl. I told them kuwa napenda urafiki wa kawaida kuliko ule wa kimapenzi. Wengine walielewa, wengine wakasema naringa. Ila ni marafiki zangu wote.. Endapo ningeenda nao all the way wengi wao tungekuwa tumechuniana sasa hivi.
 
'Kuflirt' ndio nini jamani? Dada Kaunga,punguza uzungu nasi tuelewe
 
Last edited by a moderator:
i decided not to go all the way because nlikuwa na girl. I told them kuwa napenda urafiki wa kawaida kuliko ule wa kimapenzi. Wengine walielewa, wengine wakasema naringa. Ila ni marafiki zangu wote.. Endapo ningeenda nao all the way wengi wao tungekuwa tumechuniana sasa hivi.

Good for you.
BTW why did you flirt in the first place? Why does one do it, is it because of boredom, kuwa neglected na loved ones? gfsonwin amesema message anayoipata mumewe akiflirt ni kwamba hajaplay role yake ya kumhashua mumewe kisawasawa so she takes it as a challenge.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh mwe Kaunga ilumbuye,kusoga kwenuko valakini? lol......................
 
Mfano mimi naflirt na wewe, au hata najiongozesha. Ukiwa tayari kuridhia mtongozo wangu, bado mimi naweza chomolea na nisionekane nina tatizo.

Lakini wewe ukiflirt na mimi, mimi nikiridhia je nawe unauwezo wa kuchomolea kwa kuwa hukuwa serious? Au itabidi unigegede ili nisiseme wewe sio mzima au una kibamia au anything? I mean your ego haitakuwa damaged kwa mdada kujilengesha na wewe kumtolea nje?
Okay sasa naanza kuelewa hiyo kwenda "all the way". Lakini kwa mfano wako, siwezi kujisikia vibaya kama mimi ndiye niliyeamua kuanza kuflirt na wewe ("kukuchokoza")-purely for fun - halafu nikagundua kuwa upo serious, naona ni rahisi zaidi mimi kuchomoka. Naweza kusumbuliwa na ego(male?), na kushindwa kuchomoka - kama wewe ndiye umeanza kuflirt na mimi ("kunichokoza") halafu ukawa serious unataka kugegedwa!

Lakini kwa vyovyote, vile inategemea na malengo ya kuflirt ni yepi. Kwa wengine ni njia tu ya kuanza kutongoza lakini wengine wanaamua kufanya purely for fun and yet kuna wengine wanajikuta wameanza (bila malengo), na kujikuta wanaelekea either way!:A S 39:
 
The thing l like about you is your honesty. Thanks DC

Mambo mengine ni magumu sana. Wakati mwingine unamhashua mtu kwa sababu huamini kama anaweza kukupa nafasi. Na ikitokea mdada akaingia line katika case kama hiyo, inakuwa ngumu kwa men kuchomoa.
Kwa wale tusiojua sana mambo ya utani utani wa kuweka weka vidole kwenye mdomo wa simba au chatu, tukaona bora tung'atuke mapema!
 
Back
Top Bottom