Swali: Hivi ni kweli?

Swali: Hivi ni kweli?

Kaunga, flirting kwangu mimi huwa naona kwa mach mawili tofauti tena kwa jinsia zote mbili.
jicho la kwanza huwa nauona kaa utani tu wenye kumfanya mtu afarijike na kuona kwamba anaishi. mara nyingi husaidia sana kupunguza mawazo kwa wale wenye msongo wa mawazo.

jicho la pili naiona kama bustani ama tuta la bustani lililolimwa na kurekiwa vizuri pasi kujua litapandwa nini mbeleni. na hapo mlimaji akikaa na kuwaza zaid huja na idea ama nilime mchicha ama nilime kunde. lkn wakati wa undaaji hakujua anaandaa ili apande nini.
 
Last edited by a moderator:
but kuna kitu ambacho sikielewagi what is the motive behind flirting??
manake motive behind ndio inayo drive the ultimate result most of the cases. and to me huwa naona kabisa hubby wanu nikimkuta ana flirt na mtu ni wazi kwamba mimi sijacheza na nafasi yangu vyema. na hii mimi nitaichukua kama challenge kwamba inabidi niwe na muhashua hubby.

ila yeye akikuta kwangu najua atajua namegwa lol! manake ataconclude kwanini mtu baki anifurahie kuliko yeye??
 
Naenda kuining'iniza hii ukutani, like like

mimi mwali mbn ntakuwa na kesi nyingi sana sasa!hebu niache mweh!
nahis unaanza kuwa ulevi
 
Mwanaume akiflirt kuna uwezekano mkubwa akaenda all the way; ila mwanamke akiflirt she is most of the time not serious. Riwa nafikiri hii inafanana na swali lako la SMS kwenye simu ya mwanaume na ya mwanamke. (I thought it is worth a thread)

Ufafanuzi kidogo
Mfano mimi naflirt na mwanaume, au hata najiongozesha. Akiwa tayari kuridhia mtongozo wangu, bado mimi naweza chomolea na nisionekane nina tatizo.

Lakini mwanamume akiflirt na mimi, mimi nikiridhia je naye anauwezo wa kuchomolea kwa kuwa hakuwa serious? Au itabidi anigegede ili nisiseme sio mzima au ana kibamia au anything? I mean man's ego haitakuwa damaged kwa mdada kujilengesha na yeye kumtolea nje?

......ahh, wasichana/wanawake wengi siku hizi ukijidai ku flirt kosa! Atakusumbua na sms na calls akitaka hiki na kile mpaka kero!
 
Sometimes wengine wanakuwa tu wanatest zali...ukiingia line ndo mgegedo.
 
mimi mwali mbn ntakuwa na kesi nyingi sana sasa!hebu niache mweh!
nahis unaanza kuwa ulevi

halafu nakudai pesa nyingi sana ujue??
kichwa cha mwl daima huwa kina akili nafkiri hata Ng'wale anatakiwa alijue hilo.
 
Last edited by a moderator:
Nauchuna ili unimiss halafu uniambie lol

mmeanza hapa hapa!
aahhahahahhahah Kaunga hii itabidi tuifatilie hii!
one way to go au ndo inakuwa zile za si nilikuwa nakutania banaa,na weeewe HUTANIIIIWI!kausha wangu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa historia ya watu 2 ambao nimeshawahi kuwa nao sijaflirt hata mmoja wao. ila wote ninaoflirt nao, inaishia kwenye flirting tu. Wewe je?

samahani hapo kwenye bluu ,hiyo namba inahusu nini?

nitarudi baadae kuja kuchangia.
 
Thanks gfsonwin kwa mdadavuo wako mzuri; so ukirejea swali la msingi. Given equal opportunity ya kukubaliwa mtongozo kati ya mtu mume na mtu mke, nani is more likely kuchomolea offer ya kuengage in sex?
Juma katongoza kukubaliwa
Roza kajitongozesha kakubaliwa
Wote wanaweza kuahirisha na ikaleta tafsiri sawa?
 
Last edited by a moderator:
......ahh, wasichana/wanawake wengi siku hizi ukijidai ku flirt kosa! Atakusumbua na sms na calls akitaka hiki na kile mpaka kero!

Hahaha, hatutaniwii eeh!
So kutokana na interest ya material things basi kugawa sio issue anymore. Interesting!

Na Mbu mdada akikuchunuku na kukuoneshea na huenda aka kuambia utafanyaje?
N.B
Hili swali halimfai mzabzab
 
Last edited by a moderator:
Ngoja labda nikumbuke practices zangu enzi zile za 1947....

Naona ni nyingi tu ambazo niliwahi kuchomoa dakika za majeruhi....

Ila siyo kawaida sana kwa wanaume...

Ndiyo maana wengine tulijistaafia, tena baada ya upande wa pili kuzidisha ukali...Ukichomoa unakaribia kupewa kisago..lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom