Swali: Hivi ni kweli?

Swali: Hivi ni kweli?

Good for you.
BTW why did you flirt in the first place? Why does one do it, is it because of boredom, kuwa neglected na loved ones? gfsonwin amesema message anayoipata mumewe akiflirt ni kwamba hajaplay role yake ya kumhashua mumewe kisawasawa so she takes it as a challenge.

ni boredom tu halafu ina happen zaid pale ambapo mmoja anapokuwa busy na mambo mengne na kuacha yale mashamsham ya kimapenzi. Ni chalenge kweli.. Nlikuja kugundua kuwa it wont help hata kidogo so i decided to talk with my girl na alinielewa na akajirekebisha.. Akanambia kuwa mazoea ndio yalifanya ajisahau. At last kila kitu kikaenda poa..nikaacha zle flirting.
 
Last edited by a moderator:
Thanks gfsonwin kwa mdadavuo wako mzuri; so ukirejea swali la msingi. Given equal opportunity ya kukubaliwa mtongozo kati ya mtu mume na mtu mke, nani is more likely kuchomolea offer ya kuengage in sex?
Juma katongoza kukubaliwa
Roza kajitongozesha kakubaliwa
Wote wanaweza kuahirisha na ikaleta tafsiri sawa?

to me mwanaume akikataa kufanya tendo sounds ok as well as kwa mwanamke.
ishu ambayo mimi naiona ni ngumu ni kwa yule mwombaji kwamba kaomba kakataliwa................both ways it pains kwa mwombaji
 
Mmmh mwe Kaunga ilumbuye,kusoga kwenuko valakini? lol......................

Kupanga; zya nsiku?
Mbona umeguna tu huchangii hii issue ya mihashuo?
 
mimi mwenzenu mgeni hapa Yerusalemu....... yaani kabisa mtu unakuwa serious na flirting? ngoja niangalie foleni ingefika wapi, lol!
Hahaha. Wakat inaanza unakuwa unadhan sio serious.bt inafkia hatua sasa inakuwa too serious mpaka inatisha.
 
Hahaha. Wakat inaanza unakuwa unadhan sio serious.bt inafkia hatua sasa inakuwa too serious mpaka inatisha.
hiyo hatua ndo kama siku ngapi? miaka mingapi?......
sijawahi kuwa serious kwenye flirting aisee, na sitegemei kuwa serious
 
i decided not to go all the way because nlikuwa na girl. I told them kuwa napenda urafiki wa kawaida kuliko ule wa kimapenzi. Wengine walielewa, wengine wakasema naringa. Ila ni marafiki zangu wote.. Endapo ningeenda nao all the way wengi wao tungekuwa tumechuniana sasa hivi.

Sema ukweli kaka!!!
 
hiyo hatua ndo kama siku ngapi? miaka mingapi?......
sijawahi kuwa serious kwenye flirting aisee, na sitegemei kuwa serious

inategemea na mawasiliano yenu
 
Back
Top Bottom