Swali Fyatu: Tunaridhishwa Kirahisirahisi au na Mambo Madogomadogo? Au Yote 2

Kuna muda na nyakati lazima watu tuwe wakweli,tena tuzingatie ukweli kama ulivyo (objective truth). Tanzania hakuna uchaguzi bali ujinga wa mtu mweusi kwenye sanduku la Kura tukubali tukatae lakini huu ndo ukweli.

Kuna Uzi wako humu mzee Wangu,wenye maudhui ya kile tusicho weza tusaidiwe,nami naunga mkono wazo lako,lakini sio katika idara, taasisi au sekta fulani bali nchi nzima wapewa wageni kutoa Magharibi au Asia watutawale,sisi tumeshindwa kujitawala.
Kwenye Utawala na Siasa ukiwa na Mawazo. Mbadala wewe ni adui na utamalizwa.. Ndio maana power Monger wamekubali kuimba wimbo wa Mama , huku mioyoni wanaumia! Alaaniwe huko aliko alye asisi ..hizi Siasa taka hizi!
 
Kuna muda na nyakati lazima watu tuwe wakweli,tena tuzingatie ukweli kama ulivyo (objective truth). Tanzania hakuna uchaguzi bali ujinga wa mtu mweusi kwenye sanduku la Kura tukubali tukatae lakini huu ndo ukweli.

Kuna Uzi wako humu mzee Wangu,wenye maudhui ya kile tusicho weza tusaidiwe,nami naunga mkono wazo lako,lakini sio katika idara, taasisi au sekta fulani bali nchi nzima wapewa wageni kutoa Magharibi au Asia watutawale,sisi tumeshindwa kujitawala.
Tatizo la msingi lililotufanya tushindwe kujitawala ni lipi mkuu?
 
Back
Top Bottom