Malizia aliapishiwa pale hotelini kwa Magu JS hotel.Mkuu, kama Mh. Mwigulu aliapishwa kuwa waziri kule kijijini Chato, kuna ubaya gani Rais SSH kufanyia shughuli zake katika jiji kubwa kama Dar es Salaam?
Tunataka tuanikie michembe yetu pale airport.Ikulu ya Dodoma igeuzwe iwe chuo kikuu cha ufundi,Chato airport wapewe wakulima na wavuvi
kuna jamaa wanamvisha magunia pale hamza alipofanya tukio,Hali mbaya mkuu. Huoni anaanza kutembea na wasanii muda huu. Amegundua hakubaliki bora aanze kampeni mapema. Ni hivyo tu.
Malizia aliapishiwa pale hotelini kwa Magu JS hotel.
Hao watu wamefanya nini na watafanya nini?kuna jamaa wanamvisha magunia pale hamza alipofanya tukio,
kuanzia asubuhi mpaka ijioni.
Unpopular president.
Na kwa jinsi kikwete anavyokuwa relevant kwenye hii awamu ndivyo hasira za watu zinazidi.
watu sio wajinga kama wanavyodhani.
wanaona kila kitu kinachoendelea,
It is just a matter of time tuachane na hizi drama zinazoendelea.
Bora kuliko kuota nyasi,tutawapa wachina tukishindwa kulipa mikopo yaoTunataka tuanikie michembe yetu pale airport.
Kwani shida nn? C anakua ana talii mda ote.Si sahihi kabisa raisi kukaa sehemu moja na hawaView attachment 2025246View attachment 2025251
Kwani Wagogo wajua kupika urojo basi.
anafuata dudu mama bado damu inachemka kwaiyo antena ikisoma anapeleka mbususu kwa mwenzie
Hivi idadi ya waangaliaji wa hotuba za sasa kulinganisha ns aliyepita ipojeHali mbaya mkuu. Huoni anaanza kutembea na wasanii muda huu. Amegundua hakubaliki bora aanze kampeni mapema. Ni hivyo tu.
Kwani kuna hotuba au mipasho na kusifia vifua vya watu?Hivi idadi ya waangaliaji wa hotuba za sasa kulinganisha ns aliyepita ipoje
Huko wanakaa washamba na malimbukeni tuKwani ikulu ya Magogoni kuna nini hata rais aende kukaa Chamwino??
Mama anapenda upepo wa baharini mkuuKama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?
Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?
Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?
Nawakilisha.
Upeo wako ni mdogoVichwa panzi wanataka hata kumpangia Rais wa Nchi pa kukaa.
Huwezi kukuta huu ujinga popote duniani isipokuwa Tanzania.Yaani makazi ya Rais yanapunguza nini kwenye mustakabali wa maendeleo ya Nchi?Akikaa Dodoma au Dar kote kuna Ikulu and then what?