Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko? Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo? Nawakilisha...

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Kulikuwa na moto gani dar mpaka mwendazake akawa hakai?
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko? Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo? Nawakilisha...

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Hakuna cha mafaili wala nini, nani akae dodoma wakati airbus imepaki hapo nje?
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko? Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo? Nawakilisha...

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Ukitaka kujua Dodoma hakukaliki kila Ijumaa fanya safari kuanzia Dar-Dom kuanzia saa tisa mchana. STL na V8 zinazotoka Dom kwenda Dar zinazidi Idadi ya Bus za abiria. Hivyo hivyo na Jumapili Dar-Dom
 
Kukusaidia Bure tuu, ile ni mpango na uratibu wa Wana sgang, hivyo hakuna haha yaaswali mingi, kama nifiatiliaji wanayo sifa ya umimi, ukatili uliovuka viwango vya kawaida, na roho mbaya, sema lingone, upate ufafanuzi .Wadau wapo na Gt wapo Kwa ajili ya wote.
Acha uongo, mpango wa Ikulu kuwepo Chamwino, ulikuwepo tangu enzi za Nyerere, Kwa hiyo Nyerere naye alikuwa hiyo sgang?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko? Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo? Nawakilisha...

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
He! Ni kweli hakai bhana!
 
Ukitaka kujua Dodoma hakukaliki kila Ijumaa fanya safari kuanzia Dar-Dom kuanzia saa tisa mchana. STL na V8 zinazotoka Dom kwenda Dar zinazidi Idadi ya Bus za abiria. Hivyo hivyo na Jumapili Dar-Dom
Sasa ni yaleyale, pesa za kodi zetu zinachomwa hovyo, bado tu zianze route za kwenda weekend dubai, subiri miradi ya kupigia pesa ipitishwe , kama hiyo ya kina bumbuli,
 
Vichwa panzi wanataka hata kumpangia Rais wa Nchi pa kukaa.
Huwezi kukuta huu ujinga popote duniani isipokuwa Tanzania.Yaani makazi ya Rais yanapunguza nini kwenye mustakabali wa maendeleo ya Nchi?Akikaa Dodoma au Dar kote kuna Ikulu and then what?
 
Watu wengi serikalini hasa mawizrani hawakutaka kuhamia Dodoma,,ndo maana Magufuri alilazimisha ..hivyo watu kama mama samia amezoea raharaha na matanuzi ndo maana yeye na wasidizi wake wanaandaa agenda za uwongo na kweli ili wawe Dar au Zanzibar..Ndo mqana hata speed ya ujenzi Dodoma kwa uoende wa serikali imedorora
kwani Rais wa nchi yoyote ile kuna wakati huwa anatoka Ikulu na kwenda kujirusha kwenye maeneo ya starehe na watu wengine!? Mi najua starehe zote anafanyia Ikulu na hata akitoka basi ni kwasababu maalum hasa za kikazi na huwa na walinzi wake au pale anaporejea kwao kwa ajili ya mapunziko.
 
Watu wengi serikalini hasa mawizrani hawakutaka kuhamia Dodoma,,ndo maana Magufuri alilazimisha ..hivyo watu kama mama samia amezoea raharaha na matanuzi ndo maana yeye na wasidizi wake wanaandaa agenda za uwongo na kweli ili wawe Dar au Zanzibar..Ndo mqana hata speed ya ujenzi Dodoma kwa uoende wa serikali imedorora
Hivi ujenzi wa ikulu ya chamwino anaendeleaje maana sikuizi hatupewi updates

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom